CCM kwa miaka yote mliyoongoza mkipumzika kuna kosa kwani!?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Ukweli ni mchungu na ukweli ni mkubwa mbeleni.

Miaka 60 kuwepo CCM bado kuna vitu mnafanya kuchekesha na kuchekesha.

Kama hili​

IMG_0498.jpg

Miaka 60 kuwepo CCM juzi nasikia IGP safari kwenda Rwanda kaja na aliyoshauriwa !

Miaka 60 kuwepo CCM, wananchi tuliopo mtaani,vijijini na sehemu mbalimbali tumeshakuwa wakina Hamza japo kila mtu na matukio yake, ila itafika siku mtatukimbia.

Miaka 60 kuwepo CCM baada ya kuboresha angalau hata mikoa 8 ifanane na mji kama Dar mpo mpo tu japo hata Hayati Magufuli alijaribu Dodoma na Chato kwao.

Miaka 60 kuwepo CCM bado kampeni zao sijui tutajenga barabara,sijui kitu gani wakati hizi sera zilitakiwa kufa kipindi cha Jakaya.

Miaka 60 kuwepo CCM ni waoga wa katiba na vyama pinzani hata wanaharakati.

Haya ni machache ila 2025. Katika nyuzi zangu na nawaota sana mtakavyochekesha dunia
 
Hofu kubwa kwao Ccm ni kua wapinzani wataharibu Tunu za Taifa......kitu kingine ni ubinafsi wa watawala Ccm

Hofu nyingine ni KUA vyama vya upinzani ni mapandikizi ya Mabeberu......kuna muda niliwaza kwann JPM
Alichukia Sana upinzani labda kuna mengi aliyo yajua kuliko sis wananchi maamuma wa Tz

Leo ni Miaka zaid ya hamsini tangu uhuru BADO kuna maeneo hawana maji, wanafunzi wanakaa chini.......

Kuna baadhi ya mambo Jpm aliyaishi maono yangu........

Hatua ya kuanza nayo ni KATIBA MPYA,
Tuachane na wale walio tuambia "KATIBA MPYA NI KULA NA KUSHIBA"
Tuanze na Hilo
Then tuwekeze kwenye ELIMU,
Then tutengeneze stong institution,
Tuanze na hayo kwanza

Humu Jf kuna ma gwiji wengi na maarifa mengi yalikishwa andikwa tuanze na above mentioned.
 
Nadhan huu ni muda muafaka kwa wanasiasa wote kuanzia chama tawala mpaka upinzan kupumzika ili tuingize nguvu mpya maana wote binafs nimewachoka kila siku sura zilezile Mwigulu,Makamba,Mbowe,Lisu,Chenge,Nchimbi na wengineo inaonekana km jamaa hawana kaz nyingine tofaut na siasa
 
Pandikizi LA mabeberu au pandikizi za CCM???
 
Mnataka CCM itoke Madarakani wakati hao Wana CCM wakija kwny vyama vyenu mnawapa kipaumbele cha kuwa Wagombea

Ni sawa na kule Kenya Walijisifu kuingusha KANU wakati kumbe wana Kanu wenyewe ndio walitoka wakaanzisha hayo Makundi ya kuingusha KANU na upigaji na Rushwa nazo zikahamia kwny hivyo Vyama vingine
 
Nadhan huu ni muda muafaka kwa wanasiasa wote kuanzia chama tawala mpaka upinzan kupumzika ili tuingize nguvu mpya maana wote binafs nimewachoka kila siku sura zilezile Mwigulu,Makamba,Mbowe,Lisu,Chenge,Nchimbi na wengineo inaonekana km jamaa hawana kaz nyingine tofaut na siasa
Nguvu mpya ndio akina nani hao?
 
Back
Top Bottom