CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

Tanzania 0 - 1 Burundi.

Tatizo wanaficha uchafu unaonuka.

Jana baada ya kuona promo za uwanja wakati hamna mtu aliyehoji nikaona kabisa kiwanja kitakuwa ovyo na ndivyo kilivyokuwa.
 
Kumbe Abbas anawanyima usingizi mtakonda mwaka huu.
Masikini walahi! Yaani wewe husikii vibaya kudanganywa wazi wazi kama lipumbavu fulani hivi?
Hivi huko vichwani mume beba ubongo au ni pakacha la uchafu tuu?
Na kama mambo ya wazi hivi mnadanganywa na mnakenua kwa vicheko mangapi ya sirini mnapigwa changa LA macho na kushangilia kama mazuzu?
Wacha1 jaribu kutumia ubongo wako uliopewa na Mungu bure, maana alikuwa na sababu ndio maana hakukuumba punda au fisi
 
Bado tu mnatumia Propaganda zenu? Mwaka huu hamtoboi. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hivi ndivyo waandishi wanapaswa kufanya, kutuonyesha ukweli/hali halisi kwa maslahi ya umma. Pongezi east africa radio.
 
Nikiringanisha zile picha zilizokua zimepostiwa jana na Msemaji wa Serikali pamoja nilichokiona Leo kwenye TV ni Vitu viwili tofauti!

Hapo ndo huwa najiuliza unadanganya kwa faida gani? Ili iweje kwa Mfano?
Serikali imejaa waongo na wasaka tonge tu. Eti huyo Abbas naye anayo PhD. Hata baba yao ni muongo hivo hivo. Usitarajie watoto wawe wakweli wazazi ni waongo kupindukia. Hata kwenye kampeni zao ni uongo kwa kwenda mbele.
 
Dah,

CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na Mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakin bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara, na zile ni nyasi halisi, kutota tena ni majaaliwa.

Uwanja sasa umeharibika, Mipira haitambai kama inavyotakiwa, huu ndio uzalendo kweli? Hivi hata tukifungwa si mtakua mnahusika nyiyni watu? Kweli kabisa mnathubutu kuharibu uwanja namna hii mkijua wazi utatumika tu soon? Kweli kabisa nyie ndio mnataka tuwape mitano mingine tena huku tukijua wazi hamna uchungu na rasilimali zetu?

Imenigusa sana hii,
View attachment 1597081

View attachment 1596951
Ccm ni chama cha kizalendo tuzidi kukiunga mkono ili kitoke madarakani kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiringanisha zile picha zilizokua zimepostiwa jana na Msemaji wa Serikali pamoja nilichokiona Leo kwenye TV ni Vitu viwili tofauti!

Hapo ndo huwa najiuliza unadanganya kwa faida gani? Ili iweje kwa Mfano?
Zile zitakua ni Picha za Zamani, sijui walikua wanamdanganya Nani. Maana obviously tungeona tu. Huyo msemaji sijui anajiskiaje Sasa
 
Back
Top Bottom