CCM kuweni makini na Wahamiaji hawa wanaweza Kuuza Nchi!

Lancashire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,045
10,329
Kwa uchache niseme tuu wimbi la baadhi ya madiwani na wabunge kutoka vyama vya upinzani limeshamiri.

Katika miaka miwili hii tumeshuhudia makundi ya viongozi hawa wakihama vyama vyao na kuhamia CCM .

Hili ni Jambo jema lakini naushauri kidogo kwa viongozi wa CCM watu hawa hata Kama wamehamia katika Chama tawala muwe makini katika baadhi ya "post" watakazopewa kwa sababu inavyonesha ni watu wasio na msimamo na wanayo yasimamia.

Ni hatari Sana kwa usalama wa taifa wanaweza Kuuza Nchi kwa kurubuniwa na watu wenye fedha.

Ni hayo tu kwaleo.
 
Back
Top Bottom