Tetesi: CCM kuwafikisha Takukuru mafisadi wa mali za chama waliotajwa na Tume ya Dr Bashiru kwenye ripoti yake

Unasikia huyo Kinana, Makamba na Uncle wangu Membe hawapo kwenye system kwa sasa.
Hapa utawakuza kama nini mwishowe watabaki kuwa wa kawaida tu, na wanaweza kutingishwa kama anavyo tingishwa Dos Santos wa Angola na binti yake Isabela.

Akina Besigye walikuwa jeshini tena madaktari binafsi wa Museveni na sasa wanateswa na serikali ya camaraderie(tamka Kamarade kwa kimatumbi ) wao.

Haujiulizi kwanini viongozi kama Kagame, Museveni, Mugabe(R.I.P), Mkuruzinza,na Kabila, kwa nyakati tofauti wameng'ang'ania kubaki madarakani?
Jibu ni kwamba ukiachia tu kile kiti hauna nguvu zozote za kumfikia angalau nusu yule aliyeshika kile kiti.
Kwa hivyo kama akitaka kukukomoa anaweza akakumaliza kishamba tu usibakie hata na senti moja bank karibia zote duniani.

Kibaya zaidi hao akina Kinana hawakufikia ngazi ya majenerali na wametoka miaka mingi huko jeshini.
Haya yote ni kelele za muda tu, na uzuri ni kwamba binadamu wepesi sana kusahau yatapita lakini mwenye nguvu atabaki na donge flani na yeye kama binadamu anaweza kuanza kushughulika na kila mmoja wao.

Usisahu kuwa Lowassa alikuwa mwanajeshi na uliona alipokuwa upinzani kama aliweza kumfanya kitu mwenye majeshi yake kwa sasa.
Mwenye majeshi yake lazima ametengeneza utitiri wa wanajeshi wa ngazi za juu wenye utiifu usio kuwa na shaka kwake.

Membe anajua yeye sio jasusi wa kwanza ambae imewezekana kuwa clipped his wings. Pengine wewe haujui lakini najua lazima Membe anajua.
Na mimi sijaona au kusikia kosa la Membe kwenye zile sauti. Labda kama kuna mambo mengine ya siri mabaya anafanya ambayo haya kuwekwa hadharani.

CCM ya kumtingisha mwenyekiti wake na mkuu wa majeshi imeisha 2015, sasa hivi imerudi CCM ya zamani.
Hata kama mwenyekiti ana hofu juu ya hao wakongwe kuondoka ni suala la kibinadamu tu na ni la muda mwishowe atazoea CCM bila Kinana, Makamba Snr, au hata bila Membe ingawa naona haitakuwa busara kumfukuza chamani Membe.
Wamuache ajitoe mwenyewe kama Lowassa 2015.
Kinana aliomba kuachia nafasi ya ukatibu mkuu,mwanzo akaombwa aendelee, karudia tena kakubaliwa na sasa muda umepita tangu aachie kiti na hakuna jambo lililo kwama, chama hakijakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu. Ila Mwalimu Nyerere aliwamudu Marais, eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepatata fununu hizi muda si mrefu kupitia makada wawili tofauti lakini bado nazifanyia kazi kujua usahihi na uharaka wake.

Mmoja wa watoa taarifa amesema huenda zoezi hili likaendeshwa kimya kimya bila tambo za kisiasa ili sheria ichukue mkondo wake kikamilifu.

Niwatakie Dominika yenye Baraka!
Bado tetesi..basi tungoje

Ccm iache visasi kuna maisha baada ya leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepatata fununu hizi muda si mrefu kupitia makada wawili tofauti lakini bado nazifanyia kazi kujua usahihi na uharaka wake.

Mmoja wa watoa taarifa amesema huenda zoezi hili likaendeshwa kimya kimya bila tambo za kisiasa ili sheria ichukue mkondo wake kikamilifu.

Niwatakie Dominika yenye Baraka!
Kuna yule aliuzaga nyumba za serikali, juzi kati kaswinda tril 2.4,baada ya kushtukiwa kaona isiwe tabu kamtimua CAG
 
Nimepatata fununu hizi muda si mrefu kupitia makada wawili tofauti lakini bado nazifanyia kazi kujua usahihi na uharaka wake.

Mmoja wa watoa taarifa amesema huenda zoezi hili likaendeshwa kimya kimya bila tambo za kisiasa ili sheria ichukue mkondo wake kikamilifu.

Niwatakie Dominika yenye Baraka!
Sasa CCM ndiyo hao hao TAKUKURU,MAHAKAMA,TUME YA UCHAGUZI na kadhalika. Wewe sema wameshawahukumu inatosha mkuu
 
comrade, si mwenyekiti wetu wala Bashiru mwenye ubavu wa kucheza ligi na miamba Kinana na Membe.

mbona mwenyekiti wetu (kwa msaada wa Mkapa & Msekwa) kaishia tu kuomba poo kwa miamba hii 2?
magazeti ya Tanzanite & Uhuru kesho kutakuwa na picha ukurasa wa mbele kujifanya wamepatana...au wewe hili hujalisikia? njoo sasa hivi hapa Lumumba ndiyo story kubwa mida hii!!
Aisee. You have your ear to the ground. Ni dakika tatu tu zilizopita nilikua na yule mropokaji . Story ni hiyo hiyo. Mhariri wa Uhuru atatafuta picha nzuri za miamba hii 2 za kupamba gazeti la kesho.
 
Nimepatata fununu hizi muda si mrefu kupitia makada wawili tofauti lakini bado nazifanyia kazi kujua usahihi na uharaka wake.

Mmoja wa watoa taarifa amesema huenda zoezi hili likaendeshwa kimya kimya bila tambo za kisiasa ili sheria ichukue mkondo wake kikamilifu.

Niwatakie Dominika yenye Baraka!
Hapa wanamuwinda katibu mkuu mstaafu!! Alileta jeuri wafanye yao...
 
Sasa CCM ndiyo hao hao TAKUKURU,MAHAKAMA,TUME YA UCHAGUZI na kadhalika. Wewe sema wameshawahukumu inatosha mkuu
Yes Kiongozi, ni muda muafaka sasa wa kuinyofoa CCM ndani ya hivi vyombo nyeti vya (dola) kitaifa.
 
Back
Top Bottom