CCM kutumia ubalozi wa JMT kumpongeza rais JK ni sawa?

pepekale

Member
Nov 25, 2010
60
50
wanajamii naomba kupokelewa jamvini,mimi ni mgeni hapa!ndugu zangu wana JF hapa russia kuna tawi la ccm,wameandaa sherehe za kumpongeza rais jk kwa ushindi hafifu aliopata katika ubalozi wetu hapa moscow!sasa ndugu zangu naomba kufahamishwa kama inaruhusiwa ofisi ya serikali kufanya sherehe ya chama fulani?na je kama chadema nao wakiomba ukumbi wa ubalozi wetu watapewa au inakuaje hapa?please msaada tutani wakuu!
 
tulia wewe Pepekale alaah!!!! mbona unataka kutuharibia shughuli! we jmosi njoo ule ubwabwa kwa mzee Mwambi.
 
Huo ni ufisadi mtupu lakini hatushangai hata hapa bongo kila ofisi inatangaza kuwapongeza kikwete, shein, pinda na makinda sijui hiyo bajeti wanaipata wapi huuuu ni ufisadi mbaya saana wakati wananchi wanakufa kwa kukosa huduma watu wanapongezana ikiwezekana tafuta warusi wachome moto hiyo balozi kwa ufisadi wnashindwa kutafutia vijana waje wasome huko wenyewe wanafanya sherehe very stupid inatia kichefuchefu nalia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom