Elections 2015 CCM kutoa milioni 150 kwenye kila kata Dar es Salaam sijaielewa

babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,562
2,000
East Africa Television (EATV) Mgombea mwenza Urais wa CCM Bi. Samia Suluhu ameahidi shilingi milioni 150 kila kata jijini Dar es salaam, kwa ajili ya kuwezesha wajasiriamali ili kukuza biashara zao kama yeye na Mh Magufuli watachaguliwa na wananchi kuongoza nchi.

Wewe kama mwananchi, nini maoni yako
 
mizarb

mizarb

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,400
2,000
Yakumbuke mabilioni ya JK, then tafakari kwa kina na ufanye maamuzi sahihi 25 oct
 
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,562
2,000
hivi hizi hela na million 50 kila kijiji zinaanza lini
 
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,562
2,000
Hii ahadi imetimia ama mpaka mwakani


Sent using iphone
 
Top Bottom