CCM kutabiri kifo cha CHADEMA huashiria nini?

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
0
Wamekuwepo viongozi wa ccm akiwemo wassira na Mwigulu Nchemba wamekuwa wakitoa kauli za kwamba CHADEMA lazima ife.Je,kwani uwepo wa CHADEMA kuna haribu nini katika serikali ya ccm(magamba)? Je,Iwapo CHADEMA itafanikiwa kufa(japo ni jambo lisilowezekana) CCM watakuwa wamefaidika na nini? Ni nini kinachowafnya ccm kukazana kupika mbinu chafu za kuua chadema? Mfumo wa ccm wanafaidka na nini hadi wawe na hofu ya kuondok madarakani? Je,ikulu kuna nini hadi wang'ang'anie kuwepo ccm tu peke yao katika utawala?
Najua kuhangaika kote huku ni kuficha uovu uliofanywa na ccm wakiwemo viongozi majangili(kinana),viongozi wauaji(kamuhanda),viongozi wa ccm wabakaji(kapuya),viongozi wa ccm wachochezi(pinda na muhongo),viongozi wa ccm mafisadi(lowasa,chenge nk),viongozi wanaohamasisha mauaji(Nchemba),viongozi wenye dharau(muhongo,membe) nk.
 
Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
May 16, 2013
1,337

Yupo Mhenga aliyewahi kusema kwamba, "Mtu anayechukua wake za watu hata akisafiri naye kwenda Nje ya Nchi kabla ya kuingia naye Hotelini lazima aangalie kushoto na kulia kuangalia kama kuna mtu anayeweza kumtambua"
Ukiona hayo matamshi ni sawaa na hadithi ile ya darasa la tatu enzi za Elimu chini ya Uongozi wa Mwl. Nyerere, "sizitaki mbichi hizi"
CCM wanaogopa mambo yafuatayo:-
1. Endapo CHADEMA ikiwepo wanatambua wazi kwamba wezi, mafisadi, waliopanga hujuma na kuzua mashtaka ya kusingizia kama yale ya ugaidi watawajibika.
2. CCM wanatambua kwamba kikiingia chama mbadala kama CHADEMA na kusimamia raslimali kwa manufaa ya wananchi wa taifa hili wao watadharaulika kama KANU kule Kenya.
3. CCM inatambua kuwa uongo, porojo, hofu, wanayopandikiza kwa wananchi utadhihirika kuwa ilikuwa ni ghiliba za uzushi tu.
4. CCM inatambua kuwa mikataba yote ya ulaghai waliyoingia na hao wanao itwa wawekezaji ambayo ni kinyume cha sheria sasa itaanikwa hadharani na hapo wahusika wakuu waficha wapi nyuso zao?
5. CCM inatambua wazi kwamba ile vita feki ya Ufisadi, madawa ya kulevya na Operesheni kama tokomeza kwa majangili sasa itakuwa wazi wazi.
6. CCM inatambua kauli ya wahenga kuwa heri lawama kuliko fedheha, nikiwa namaana kwamba taarifa za tume hewa ambazo zimeundwa tangu enzi hizo ambazo bado hazijawekwa hadharani sasa zitakuwa hadharani.
7. CCM inatambua kuwa wamekuwa wakiwatawala watanzania kwa hila na kuwatia hofu sasa iwapo wakija watu wengine huo uongo na uzushi utakuwa dhahiri na mitandao yote ya uhalifu mkubwa na kuficha raslimali fedha nje ya nchio itakuwa hadharani.

Big up kamanda
 
The Invincible

JF-Expert Member
May 6, 2006
5,937
2,000
CCM wanajitabiria kifo chao wenyewe. Washenzi wakubwa hawa.

Wameishiwa fikra, maono, mikakati na mbinu za kuendesha taifa hili.
 
wauwau

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
705
170
Bavicha kaskazini bwana majanga. Tangu ZZK na wafuasi wake watoke humu JF ambao kidogo walikuwa great thinker naona hata kifo cha JF. Maana great thinkers wamebaki upande mmoja tu. Bavicha waliobaki ni vichwa vya panzi na hata Slaa kakimbia ingawa tunajua kaishiwa hoja. Kalia kuiota CCM wakati chama cha sebuleni kinakufa na kuuawa na chama cha chumbani
 
Falconer

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
809
500
Jamani, hawa viongozi wa CCM ni hatari kabisa. Hawa ni wachawi. Walijaribu kutumaliza katika CUF lakini hawakufanikiwa ila waliweza kutuvunja nguvu bara lakini imebainika kutuongezea nguvu visiwani kiasi kwamba CCM haitajiki pemba, na Unguja sasa hivi, ndio kipindi cha lala salama. CCM, wanamwaga pesa kila kipembe kuuwa demokrasia. Wameshindwa kupambana na Chadema kwa hoja imekuwa ni kuwafitinisha viongozi wa CHADEMA. Wenzetu katika demokrasia lazima tuwe makini sababu hawa CCM nia yao ni kuendeleza ulaji na wizi wa mali ya mtanzania.Chadema musikubali kuchezewa vichwa na CCM.
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,327
2,000
Kuna ule msemo unaosema,mchimba kaburi huingia mwenyewe.

Huu utabiri wa akina Wassira na akina Nape Nnauye,ambao ndiyo wamekuwa mstari wa mbele,kutabiria kifo cha CDM, ulikuwa umebase zaidi kwa CCM,kuwategemea zaidi mamluki wao,waliowapandikiza kule CDM,ili wawafanyie kazi ya kukinyonga chama cha CDM!

Kitu kinachofanya CCM,wafanye mikakati ya usiku na mchana,kutaka kuiua CDM,ni kutokana na ahadi yao kubwa ya kuwaletea maisha bora kwa kila mtanzania,ambayo ndiyo ilikuwa sera yao kubwa,iliyowapa ushindi wa kishindo,kwenye uchaguzi wa mwaka 2005,watanzania kubaini kuwa,lilikuwa bonge la changa la macho!

Kwa kuwa sasa CCM,wamegundua kuwa watz wote kwa sasa wamegundua kuwa tegemeo pekee la ukombozi wa wananchi wanyonge wa nchi hii,limebaki CDM,kwa hiyo na kwa kuwa CCM wanajua hawana njia nyingine tena,kwa mwaka 2015,kuwapiga tena watz,changa la macho,kwa hiyo wanajua fika kuwa,tne only way,kwa wao kupenya kwenye uchaguzi wa 2015,ni kuhakikisha kuwa CDM inakufa kabla ya 2015.

Lakini ambacho CCM huwa wanakisahau ni kuwa Mungu sio Athumani,siyo lazima wanachokitaka wao,Mwenyezi Mungu akitekeleze na ndiyo sababu pamoja na CCM usiku na mchana kufanya maombi ili CDM ife,badala yake Mwenyezi Mungu,ameamua kufanya vice versa,kwa kuifanya CDM kuwa more stronger,na kuipeleka CCM kwenye ward ya ICU!!
 
Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
0
Ccm lazima ife,zanzibar Cuf iko imara,Bara CDM iko ngangari,CCM hamuwezi kuvuka kiunzi hiki kwa 2015
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,225
Bavicha kaskazini bwana majanga. Tangu ZZK na wafuasi wake watoke humu JF ambao kidogo walikuwa great thinker naona hata kifo cha JF. Maana great thinkers wamebaki upande mmoja tu. Bavicha waliobaki ni vichwa vya panzi na hata Slaa kakimbia ingawa tunajua kaishiwa hoja. Kalia kuiota CCM wakati chama cha sebuleni kinakufa na kuuawa na chama cha chumbani
"Nothing is more terrible than to see ignorance in action." (Johaan Wolfgang Von Goethe)
 
nyachina

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
262
250
Yupo Mhenga aliyewahi kusema kwamba, "Mtu anayechukua wake za watu hata akisafiri naye kwenda Nje ya Nchi kabla ya kuingia naye Hotelini lazima aangalie kushoto na kulia kuangalia kama kuna mtu anayeweza kumtambua"
Ukiona hayo matamshi ni sawaa na hadithi ile ya darasa la tatu enzi za Elimu chini ya Uongozi wa Mwl. Nyerere, "sizitaki mbichi hizi"
CCM wanaogopa mambo yafuatayo:-
1. Endapo CHADEMA ikiwepo wanatambua wazi kwamba wezi, mafisadi, waliopanga hujuma na kuzua mashtaka ya kusingizia kama yale ya ugaidi watawajibika.
2. CCM wanatambua kwamba kikiingia chama mbadala kama CHADEMA na kusimamia raslimali kwa manufaa ya wananchi wa taifa hili wao watadharaulika kama KANU kule Kenya.
3. CCM inatambua kuwa uongo, porojo, hofu, wanayopandikiza kwa wananchi utadhihirika kuwa ilikuwa ni ghiliba za uzushi tu.
4. CCM inatambua kuwa mikataba yote ya ulaghai waliyoingia na hao wanao itwa wawekezaji ambayo ni kinyume cha sheria sasa itaanikwa hadharani na hapo wahusika wakuu waficha wapi nyuso zao?
5. CCM inatambua wazi kwamba ile vita feki ya Ufisadi, madawa ya kulevya na Operesheni kama tokomeza kwa majangili sasa itakuwa wazi wazi.
6. CCM inatambua kauli ya wahenga kuwa heri lawama kuliko fedheha, nikiwa namaana kwamba taarifa za tume hewa ambazo zimeundwa tangu enzi hizo ambazo bado hazijawekwa hadharani sasa zitakuwa hadharani.
7. CCM inatambua kuwa wamekuwa wakiwatawala watanzania kwa hila na kuwatia hofu sasa iwapo wakija watu wengine huo uongo na uzushi utakuwa dhahiri na mitandao yote ya uhalifu mkubwa na kuficha raslimali fedha nje ya nchio itakuwa hadharani.

Upo juu kamanda wangu, jamaa wa ccm hawana huruma na nchi hii, hata wakoloni hawakuwa hivyo.
 
Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
0
Bavicha kaskazini bwana majanga. Tangu ZZK na wafuasi wake watoke humu JF ambao kidogo walikuwa great thinker naona hata kifo cha JF. Maana great thinkers wamebaki upande mmoja tu. Bavicha waliobaki ni vichwa vya panzi na hata Slaa kakimbia ingawa tunajua kaishiwa hoja. Kalia kuiota CCM wakati chama cha sebuleni kinakufa na kuuawa na chama cha chumbani

Umelaaniwa wewe!? Mbona mnamsupport sana zzk,najua ni kibaraka wenu,hata kama mfanye nn,CDM haitakufa kamwe,mnapigana na kivuli cha adui.Adui yenu sio CDM bali ni walalahoi wa nchi hii
 
Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,037
2,000
Mkuu utabiri ni kuwa jamaa wamejipanga. KImisngi kisera CCM haiwezi kuishinda CDM, sasa hivi CCM impoteza mvuto kabisa kwa watanzania, kwa hiyo njia nzuri zaidi ya kuendelea kusirvive ni kuidestabiliz CDM. hata ukiangalia hapa JF unaona kabisa kuna watu wametumwa kufanya hivyo. Cha muhimu kwa sasa ni CDM kuwa makini. Lakini njia ya CCM ni halali, sio haki kuilamu CCM kwa kuidestabile CDM.
 
IKINGO

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,850
2,000
Ahaaa bavicha kaskazini bwana maono finyu?
kuna mataahira wachache mmekua kila siku mnasema KASKAZINI,Hivi hiyo kaskazini mnayoiongelea kila siku ni ya KENYA,UGANDA,RSA,URTZ au RWANDA.Watanzania hatuna utamaduni wa kubaguana ila nashangaa huu utaratibu wa kubaguana Cjui umeanza lini?,Jamani watanzania wenzangu kuna KANDA kweli ambayo ina HATI miliki ya kuiongoza nchi hii,mbona tumekuwa wa kuwaonea sana hawa wenzetu wa kanda ya kaskazini utadhani hiyo kanda ilikuwepo hapa TZ Kimakosa.Na kama ni hivyo basi ni nani mwenye haki ya kuishi hapa Tz?.Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi kile, kila kukicha nyie ni kuisema vibaya kanda ya KASKAZINI/WACHAGA.
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,842
2,000
CCM ndio wanaoratibu mipango yote ya kuiuwa CHADEMA .Gharama zote zinazotumika kwenye mpango huo zinatoka CCM mapandikizi yote yanayofanya hiyo kazi yamepandwa na CCM na yanagharimiwa na CCM.Lengo la CCM ni kuiuwa CHADEMA kabla ya mwaka 2015 ili waje kupita pasipo upinzani wowote isipokuwa lengo lao limekosa tageti limewahi kulipuka kabla ya wakati na kuipa CHADEMA nafasi ya kuharibu mipango yote michafu ya CCM dhidi ya CHADEMA kabla ya 2015.
 
babujii

Member
Apr 5, 2012
95
95
Ni dhahir shayir kuwa CCM chama cha zamani kimeshapata kutu hakifai tena kwa siasa za sasa

Kilichopo sasa ni hofu ya anguko, kudhihiri hilo ndio haya yanayofanyika sasa kutabiria CHADEMA kifo.

Katika lugha rahisi kuna mpango mkakati wa kuhujumu CHADEMA na ukiangalia kwa makini hizi purukushani zinazoendelea sasa ni jumla ya mkakati huo.

Hata MEMO iliyotupwa humu kwa kivuli cha waraka wa siri ambao unaraka kuwaaminisha wananchi kuwa CHADEMA hakipo katika kufanya siasa bali ni mali ya wachache kwa malengo yao upuuzi mtupu awali ya yote waraka ule hauna saini ya mwandishi na utaratibu mzima wa kiofisi ni shaghala baghala na iliyomo ndani si maneno tunayoyajua ya CDM bali ni kauli za upande wa pili. Tulizozizoea.

Hayo yote yanafanyika ili kukidhi haja ya utabiri wao na ili kuwaandaa wananchi kisaikolojia kushiriki udhaifu huu unaotungwa.

Ili chama kiwe cha kikanda, kidini,kikabila au kidugu ni lazima hiyo isemwe katika katiba ya chama husika.

Nia ya upande wa pili ni kutengeneza mifarakano ambayo mwisho wa siku watawala wapya watapata shida kubwa kurejesha utengamano baina ya wananchi, hilo ndilo lililokusudiwa, kuparaganyisha wanachama na wafuasi wa upinzani na kama itashindikana basi washindwe kutawala pondi wananchi watakapowapa nchi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom