Ccm kushinda kwa kishindo kata zote nne arusha

Status
Not open for further replies.

Juliana Shonza

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
2,009
1,607
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yetu , uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii pamoja na matusi mnayotukana havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.
 
Duuu.
Naona Mkaamua kukaa Chumba kimoja na Mwigulu Stereo Hotel Arusha.

Source:
Mhudumu wa Pale Ambaye ni Pumziko la Jamaa yangu wa Karibu akiwaga Arusha
 
  1. uwongo
  2. uchochezi
  3. maandamano

It is so sad, kwamba CHADEMA inaelekea ku-b-branded this way, sasa ni vyema wasiwalaumu wanaowaona hivi... bali wajiulize kwa nini tunaonekana hivi kwenye jamiii? Na je ni vizuri kuonekana hivi kwenye jamii hii tunayotaka kuiongoza....

Toa Hoja, Usipige Kelele.
 
Hao ndio akina nani? ina maana wamebeba hatma ya kata zote nne? by the way, unamaanisha nini kusema ushindi wa kishindo? Naamini CHADEMA itashinda kwa ushindi wa kura, sio wa kishindo!
 
chama cha ugaidi,maandamano,kujikopesha,kuiba wake za watu kupeana viti maaluma kwa unyumba ndogo na utekaji waandishi kitaangukia pua tu.ahsante shonza kwa taarifa makini?
 
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yetu , uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii pamoja na matusi mnayotukana havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.

Juliana Shonza haya ulioandika hapa hayana tofauti na ule mlio unaotoka kwenye saburi baada ya kuvimbiwa. Najua juzi ulipokuwa Arusha ulililishwa ngararumu ukateremshia na fenesi. sasa tumbo limevurugika ni saburi hilo linatoa mlio wake! Hoingera kwa kula ngararumu na pole kwa kujipa faraja hewa! nakutakia siku mbaya siku ya Jumapili
 
Duuu.
Naona Mkaamua kukaa Chumba kimoja na Mwigulu Stereo Hotel Arusha.

Source:
Mhudumu wa Pale Ambaye ni Pumziko la Jamaa yangu wa Karibu akiwaga Arusha

Ngoja Katiba Mpya inakuja ndio itakupa adabu!!!
 
Kila la heri shonza et al.
992948_10201247872948004_226783769_n.jpg
 
Mhmh, kweli ukiwa CCM lazima uwe na akili za MAITI. Toka kampeni zimeanza Arusha sijasikia wala kuona MAANDAMANO yoyote ya CHADEMA na mara ya mwisho CHADEMA wamefanya maandamano ni zaidi ya mwaka uliopita, lakini still brainwashed Shonza unakuja hapa kutuambia CDM wanafanya maandamano. Shame on you.

Uvivu wa kufanya kazi za halali ni mbaya sana, umeishia kuwa chakula ya wakubwa na kufuatana na Mwigulu kila anapokwenda. Tatizo huelewi kuwa wapo wanawake wanaofanya kazi za halali na wana uwezo wa kujilipia chumba Mount Meru hotel kwa fedha zao, wewe unadhani ili ulale katika 3 Star hotel lazima ujikombe kwa watu na kueneza uzushi na kuwa chakula ya wakubwa. Shame shame shame, unadhalilisha wanawake kwa kweli, heri katiba mpya imefuta viti maalum
 
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yetu , uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii pamoja na matusi mnayotukana havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.

Ms.Benazir

Helkopta ni mchango wa kujitolea wa kiongozi wetu mmoja tu wa kanda

1:Andika kama msomi mwenye shahada ya chuo kikuu

Correlation ya Chadema kutumia helkopta na dhana ya utawala bora iko wapi?Tafuta maana ya utawala bora kabla hujaropoka tu maana hapa utadhalilika

2:Unasema millioni 200?Leta mchanganuo na uthibitishe hayo!

3:Leo Mwenyekiti atafanya mikutano mingi ya kufunga kampeni.Naomba jumatatu urudi hapa.Mlidhani kumtembeza kijana Tesha kama Mwenge bila hata aibu mtakichafua chadema kwa unyama waliofanya Chama chako?

4:Uchochezi ni tafsiri ya wenye fikra mgando maana hata makaburu South Africa walitumia lugha hii dhidi ya ANC na akina Steve Biko.Soma vitabu vya historia achana na magazeti ya udaku unayosoma kila siku ya ijumaa na jumanne.I hope umeacha!
 
chama cha ugaidi,maandamano,kujikopesha,kuiba wake za watu kupeana viti maaluma kwa unyumba ndogo na utekaji waandishi kitaangukia pua tu.ahsante shonza kwa taarifa makini?
Lazima umalizie kwa kuweka alama ya kuuliza kwa kuwa huna uhakika na unachokishabikia
 
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni

We unaonaje, sio kweli kwamba ni chama kubwa?

Jumatatu nikikutania usiripoti abuse lakini...
 
Jaman nimeshangaa kabisa kuona garama kubwa inatumika kwenye hizi chaguzi ndogo kias kwamba naogopa, kwani kutafuta madaraka kwa kutumia fedha nyingi ni mbaya sana kwani kama wananchi wanaelewa sera sa chama kuwa ni kuwaletea maendeleo hamna haja ya kuruka hewani na kuwawatambia tunapiga kampeni za anga, huu ni utafutaji madaraka ambao mwishowe lazima wananchi waje kulipa, hiv mtu anazunguka makuyuni kwa ndege akiangusha vipeperushi, anadhani wanachi ndio watamsikia, nafikiri ni vema kuonana na wananchi uso kwa uso na si wakati wa kampeni tu bali mara kwa mara kwani wanachi wanaonekana wamuhimu wakati wa uchaguzi,
 
It is so sad, kwamba CHADEMA inaelekea ku-b-branded this way, sasa ni vyema wasiwalaumu wanaowaona hivi... bali wajiulize kwa nini tunaonekana hivi kwenye jamiii? Na je ni vizuri kuonekana hivi kwenye jamii hii tunayotaka kuiongoza....

Toa Hoja, Usipige Kelele.

..."Utter Nonsense Spoken Out Of Ignorance (UNSOOI)
 
Mwisho wa Haya ni Katiba Mpya Inayokuja ikipita hutaruhusiwa kufanya haya... Kwa hiyo jitahidi sana kuondoa hasira zako mapema.

Pili sheria ya Cyber Crime iko Jikoni... By 2014 itakuwa iko kazini... hapa pia patakuwa mwisho wa hayo unayoandika else utakiwa ndani ya cage.
 
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yetu , uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii pamoja na matusi mnayotukana havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.

Asante mkuu kwa taarifa.waache waendelee kutukana ila ujumbe umefika.
 
Mwisho wa Haya ni Katiba Mpya Inayokuja ikipita hutaruhusiwa kufanya haya... Kwa hiyo jitahidi sana kuondoa hasira zako mapema.

Pili sheria ya Cyber Crime iko Jikoni... By 2014 itakuwa iko kazini... hapa pia patakuwa mwisho wa hayo unayoandika else utakiwa ndani ya cage.

Kamkamateni Kagame sasa... maana mi nimemquote tu...
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom