huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,519
- 1,462
Usisahau na Ukanda piaNi ukabila
Usisahau na Ukanda piaNi ukabila
We ndo umeijua Leo?Chadema imeshauzwa
Hao wameondoka kwa sababu ni wasaka tongeKila nikitafakari nashindwa kuelewa , chama kilicho madarakani kupuuzwa na Watu wawili waliokuwa Mawaziri wakuu wa nchi na kukiacha wakati wa uchaguzi , ilikuwa fedheha kubwa sana yenye ukakasi ndani yake , na iliyoacha maswali mengi mno !
Swali la kujiuliza ni je , kama hawa waliokuwa na madaraka ya juu namna ile waliondoka , wewe mchumia tumbo , mbwa kachoka unasubiri nini ? Jiulize ni watu wangapi mashuhuri waliobaki ccm kiukweli kabisa hivi leo ?
Hivi wewe unaijua ccm kuliko Kingunge ?
Yaani hapo uliposema "Hata wazungu hawaamini" umenifanya nicheke kwa herufi Kubwa mpaka watoto wameamka,kweli CCM noma!Walifika mahali wao na kingunge wao kudhani wao ndio CCM na CCM ndio wao wakasahau kuwa CCM ni taasisi kubwa mno yenye mfumo uliosukwa ukasukika kilichowapata hawana hamu na CCM na hawaamini hadi leo.HAta wazungu hawaamini
Sijakataa watu kuondoka kwenye vyama , lakini kuondoka kwa watu wawili ambao wote walikuwa ni mawaziri wakuu si jambo la kupuuzwa .
MakapiKila nikitafakari nashindwa kuelewa , chama kilicho madarakani kupuuzwa na Watu wawili waliokuwa Mawaziri wakuu wa nchi na kukiacha wakati wa uchaguzi , ilikuwa fedheha kubwa sana yenye ukakasi ndani yake , na iliyoacha maswali mengi mno !
Swali la kujiuliza ni je , kama hawa waliokuwa na madaraka ya juu namna ile waliondoka , wewe mchumia tumbo , mbwa kachoka unasubiri nini ? Jiulize ni watu wangapi mashuhuri waliobaki ccm kiukweli kabisa hivi leo ?
Hivi wewe unaijua ccm kuliko Kingunge ?
Hii excuse ndo itawafanya wapinzani wafikishe hata miaka 100 bila kuiona ikulu, Siasa ni uwezo wa kushawishi watu wakuamini wewe ili ushike hatamu katika nafasi fulani, kitendo cha kusema sijui polisi au jeshi huwa nikichaka kinachowafanya wajihalalishie kushindwa kwao kushawishi, Kama unafanya tathmini ya haraka haraka hiyo point ni mufilisi,Bila polisi hakuna ccm , ccm ni dhaifu kuliko kawaida ! Hivi umewahi kujiuliza kilichomtoa Sumaye ccm ? Ya lowassa tuyaache .
Vijana wa Chadema wamepoteza sana muelekeo. Vibabu vimekula nchi zaidi ya miaka 50 hadi kustaafu, leo vinataka kurudi madarakani baada kugundua kuna Vijana ndani ya vyama vya upinzania wana "Frustration" Nawaambia kama Bavicha hamna mpango wa kuandaa viongozi wa kesho, matapeli wa siasa wataendelea kuwaletea vibabu kuchukuwa nafasi za uongozi hali mikibaki kushangilia kama mazuzuKila nikitafakari nashindwa kuelewa , chama kilicho madarakani kupuuzwa na Watu wawili waliokuwa Mawaziri wakuu wa nchi na kukiacha wakati wa uchaguzi , ilikuwa fedheha kubwa sana yenye ukakasi ndani yake , na iliyoacha maswali mengi mno !
Swali la kujiuliza ni je , kama hawa waliokuwa na madaraka ya juu namna ile waliondoka , wewe mchumia tumbo , mbwa kachoka unasubiri nini ? Jiulize ni watu wangapi mashuhuri waliobaki ccm kiukweli kabisa hivi leo ?
Hivi wewe unaijua ccm kuliko Kingunge ?
Refa wao, Linesman wao, Wasimamizi wa Ligi wao, wahisabu kura wao na sheria za mchezo wametunga wao hivi unategemea nani atakuwa mshindi hapo??Kushinda kwake bado kumedhihirisha kuwa ni taasisi iliyojijenga kama taasisi na sio kutegemea uwepo wa baadhi ya watu,na hii ni sifa nzuri kwa jumuiya/chama chochote kinachojali wanachama/wanajumuiya bila ya kujali nyadhifa au ushawishi wa watu binafsi
aaaaahaaa!! Hivi kumbe CCM wana cheo cha waziri mkuu...Kila nikitafakari nashindwa kuelewa , chama kilicho madarakani kupuuzwa na Watu wawili waliokuwa Mawaziri wakuu wa nchi na kukiacha wakati wa uchaguzi , ilikuwa fedheha kubwa sana yenye ukakasi ndani yake , na iliyoacha maswali mengi mno !
Swali la kujiuliza ni je , kama hawa waliokuwa na madaraka ya juu namna ile waliondoka , wewe mchumia tumbo , mbwa kachoka unasubiri nini ? Jiulize ni watu wangapi mashuhuri waliobaki ccm kiukweli kabisa hivi leo ?
Hivi wewe unaijua ccm kuliko Kingunge ?
Kama ni hivyo basi waachwe wacheze wao wenyewe, sasa huwa wanaenda kufanya nini ili hali yote hayo wanayajua??Refa wao, Linesman wao, Wasimamizi wa Ligi wao, wahisabu kura wao na sheria za mchezo wametunga wao hivi unategemea nani atakuwa mshindi hapo??
Vipi na CHADEMA Kukimbiwa na Katibu mkuu wake na strategist wake Dr Slaa!?Kila nikitafakari nashindwa kuelewa , chama kilicho madarakani kupuuzwa na Watu wawili waliokuwa Mawaziri wakuu wa nchi na kukiacha wakati wa uchaguzi , ilikuwa fedheha kubwa sana yenye ukakasi ndani yake , na iliyoacha maswali mengi mno !
Swali la kujiuliza ni je , kama hawa waliokuwa na madaraka ya juu namna ile waliondoka , wewe mchumia tumbo , mbwa kachoka unasubiri nini ? Jiulize ni watu wangapi mashuhuri waliobaki ccm kiukweli kabisa hivi leo ?
Hivi wewe unaijua ccm kuliko Kingunge ?
Una uhakika kua wameondoka?muwe mnafikili kwa kinaKila nikitafakari nashindwa kuelewa, chama kilicho madarakani kupuuzwa na watu wawili waliokuwa Mawaziri wakuu wa nchi na kukiacha wakati wa uchaguzi, ilikuwa fedheha kubwa sana yenye ukakasi ndani yake, na iliyoacha maswali mengi mno!
Swali la kujiuliza ni je, kama hawa waliokuwa na madaraka ya juu namna ile waliondoka, wewe mchumia tumbo, unasubiri nini? Jiulize ni watu wangapi mashuhuri waliobaki CCM kiukweli kabisa hivi leo?
Hivi wewe unaijua CCM kuliko Kingunge?
DEMOKRASIA NDIVYO ILIVYO. Huwezi kumlazimisha mtu kubaki kwenye chama kama hakimridhishi.Kila nikitafakari nashindwa kuelewa, chama kilicho madarakani kupuuzwa na watu wawili waliokuwa Mawaziri wakuu wa nchi na kukiacha wakati wa uchaguzi, ilikuwa fedheha kubwa sana yenye ukakasi ndani yake, na iliyoacha maswali mengi mno!