CCM Kumtumia Tambwe Hiza Kama Muwakilishi: Ni Kudharau Mchakato wa Katiba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Kumtumia Tambwe Hiza Kama Muwakilishi: Ni Kudharau Mchakato wa Katiba?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Ng'wanangwa, Apr 7, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  nimeshangazwa sana na taarifa za kuahirishwa kwa mkutano wa kukusanya maoni kuhusu muswada wa Katiba mpya pale Karimjee. Kwamba mkutano ule umeahirishwa (ITV news, saa 2 usiku) baada ya mtu asiyekubalika CCM wala upinzani, Tambwe Hiza kuchafua hali ya hewa ukumbini.

  Lakini najiuliza: katika wakati ambao taifa linashughulikia suala muhimu kama la Katiba ya nchi, CCM inakosa mtu muhimu kweli wa kumtuma kama muwakilishi hata wamteue mtu kama Tambwe Hiza?

  Hivi kweli CCM wako serious? Mtu wa propaganda anaweza vipi kuwa muwakilishi wa chama tawala kwenye ishu sensitive kama Katiba ya nchi? Where is CCM taking us? Ama mimi sielewi maana ya propaganda?

  Tuwafanye nini hawa CCM?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hapa mpaka tuchapane kwanza ndio heshima itakuwepo, hii ngonjera ya amani na utulivu ndio inasababisha wanaume wenye mimba kama Tambwe Hiza badala ya kwenda kujifunguwa anakuja kuleta porojo, i wanna kill light now.
   
 3. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huu ni ushahidi wa kutosha kwamba CCM hivi sasa ni vipande vipande, inaanza kuogopa kivuli chake wenyewe; utaona juzi walimtuma Bagenda akakataliwa, leo wanamtuma Tambwe, hali ikawa hiyo hiyo, sasa mtu anajiuliza kama CCm haikubaliki kiasi hicho kwanini inataka kuteka mchakato wa uandikaji wa katiba mpya.
   
 4. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila mtu ana haki ya kutoa maoni ni aibu kwa wajinga wale wa udsm pale karim jey kutokumpa nafasi tambwe ya kuongea. Ni ujinga mkubwa wa hawa vilaza wa udsm. Kwa vile wengine ninao pamoja nitajaribu kuwaelimisha kua hata tambwe anahaki ya kutoa maoni si dr slaa tu.

  Akiongea lipumba wekeni fujo basi muone tutakavo watafuna kama keki. Kudadeki ccm inawalea sio sisi hatutowaacha wehu wakingia ktk anga zetu.
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Tambwe Hizza is a political prostitute.
  Hana mawazo ya kisiasa wala wala itikadi inayoeleweka ndani au nje ya chama chake.
  Yeye Tambwe, kuwa front man wa chama chake, ni kielelezo fika ya jinsi chama tawala kilivyo poromoka katika medani ya kisiasa.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  TANZANIA TUJIANDAE KUWAZIKA WENGI WA WAZEE WETU WAKIWA NA DONGE SUGU MOYONI SHAURI YA MADUDU YA KILA LEO CCM, NA KWINGINEKO KUWAPAMBA MAJAMBAZI KAMA VILE NDIO MASHUJAA HALISI WA KIZAZI CHETU

  NI UCHUNGU KUSEMA LAKINI NDIO UKWELI WA MAMBO KWAMBA HAYA MAJUTO YOOOTE YOOTE TUNAYOISHI LEO NI SHAURI TU YA UKWELI KWAMBA WATU TUMEAMUA KWA DHATI KUABUDHU FEDHA ZA WATU AMBAPO MASLAHI BINAFSI HUKIRIMIWA ZAIDI NA MASLAHI JAMII HUKEJELIWA NA KWAMBA TUMEAMUA KUWATENGA WAZEE WENYE HEKIMA NA HESHIMA ZAO KATIKA NCHI HII NA SISI KUJITIA SIKIO KUZIDI KICHWA VILE
  .


  Ni kutoka na yale yanayoendele kushuhudiwa kwa mtindo tofauti kabisa leo hii na kusababisha miguno isioisha katikati yetu. Wengine leo hii huhoji mtu kama Tambwe Hiza auPrince Bagenda kutumwa na CCM kwenye masuala muhimu saaana kama katiba inaleta maana gani.

  Jamani wenzangu mimi nasema mbona kama vile hatuelewani hapa; CCM hivi sasa hakuna hata mtu mwenye akili zake timamu na pia heshima zake timilifu ambaye yuko tayari kujitokeza hadharani mbele ya Watanzania kukitete wala kubainika wazi wazi kuwa ndio TRUE FACE OF THE PRESENT TIME CCM.

  Kutokana ukweli huo ndio maana karibu kwa kila tukio jipya watu tunajikuta tukiwa tunagongana ukumbini au kwenye televisheni na sura ambayo kama ni enzi za CCM chini ya Mwalimu Nyerere basi ni kweli kabisa kwamba wao wenyewe, kwa KWA MTAJI WA HISTORIA WENYE MASWALI MENGI SANA TUNAVYOWAFAMU katika jamii yetu hii, wangejionea aibu kubwa hata kudiriki kujongea meza kuu kwa madai ya kuwiwa kukiwakilisha maoni ya kutegemeka.

  Lakini siku hizi Chama kile Cha Mwalimu chenye heshima kedekede mbele ya macho ya wazazi wetu enzi hizo leo hii ni jambo la kawaida kabisa LINJEMBA LOLOTE LILILOTOKA KUSIKOJULIKANA, eti kwa sababu tu ni RUGARUGA liaskari la kukodisha basi linajitokeza tu mbele bila hata KUJIHOJI KWANZA NA HATA KUJIKANA NAFSI YAKE kama kweli jamii itamvumilia awapo pale mbele!!!!!!!!

  Nasema ni huruma sana kuona mara leo TAMBWE HIZA na hapo kesho PRINCE BAGENDA wakati CREAM YA CHAMA HICHO TUNAOWAJUA LAKINI HAWATAKIWI KWA KUWA HAWABURUZIKI bado wangali hai ndani ya nchi hii!!!

  Jamani naongeza hiviiiiiii, mtu ukijiweka katika viatu vya wazee hawa wa CCM na kuanza kujenga picha akilini kwamba pengine enzi hizo ambapo Mzee Sinde Warioba alikuwa akitumikia uchipukizi ama ndani ya TANU au CCM na vituko anavyolazimika kuviona leo kwa kuwa hajarudi kwa muumba wake; wanavyojihisi hivi sasa akina Mzee Kisumo, Arkado Ntagazwa, Mama Getrude Mongela, na wengine enzi zao walipokua CCM kama vile Mzee Edwin Mtei, Prof Lipumba, Dr Slaa, Mutamwega, Mziray, Prof Luhanga, ...

  ... leo hii ingalikua ni kwamba watu tungalikua na uwezo wa ki-Mungu na kumuona kila mmoja kila mahali wakati wote basi mjue ya kwamba wazee hawa na wengine wengi zaidi humwaga nyongo karibu kila siku kwa hasira majumbani kwao kali siku waonapo MADUDU YANAYOFANYIKA NDANI ya chama walichokitumikia kwa karibu maisha yao yote!!!!!!!!!!!!!!!!! Hebu jiulize ni nani mwenye akili zake timamu ambaye angependa akatumie mikono yake mwenyewe kubomoa nyumba zuri aliyotumikia miaka mingi kukijenga?????????

  Je, unafikiri sisi vijitoto vya leo (UVCCM) ambao kwa uchanga wetu hata midomo bado inanuka maziwa ya mama zetu tuwapendao, pindi tunapojitokeza tu na kujitangazia mambo ovyo ovyo tu kwenye vyombo vya habari mara leo tunapendekeza afukuzwe uanachama mzee huyu (lakini si kufanya hivyo kwa mafisadi), mara yule tumemrushia tusi na huyu huku tumemuondoa ukamanda; basi ni vurugu tuuuuuuu bila hata kuweka kwenye mizania viwango vyetu vya uwekezaji wa nguvu, akili, fedha na muda katika uhai wa chama husika!!!!!!!!!!!!!!!!

  Pindi uonapo watu katika kijiji fulani huonelea kwamba ni aheri kutia kiberiti nyumba yao, hata kama ni wa kuezekwa kwa majani tu, ili ikaungue na kuteketea kabisa KUSUDI KIJIJI KIZIMA KIWEZE KUWA SALAMA TENA, basi mtu usisubiri kukumbushwa kwamba kuna hatari kubwa saaannnaaa iliotamalaki kila kona ya nyumba hiyo.

  Kwa wale ambao huenda wamechelewa kung'amua hili naomba niwapashe habari niyoweze tu kupata kwa kuangalia, kupima na kulinganisha mambo ya CCMyalivyo hivi sasa, nasema KUNA JOKA KUBWA, YENYE GAMBA SUGU, NA LENYE SUMU KALI NA HATARI zaidi ndani ya nyumba ya CCM - juhudi za kuweza kulitoa joka hili ili nyumba iwe salama kuishi watu tena, busara zinatuelekeza kwamba ni mara mia watu tukajenga nyumba nyingine katika eneo salama zaidi ili hata mayai ya nyo huyu yasitukaribie katu!!!!

  Lakini tusisahau kamwe sisi vijana kuwatafuta wazee wa kutumainika ili wakatupemwongozo wao kwa upendo kabisa kwamba kizazi hiki tukafanye nini ili kujikinga mi-joka vamizi siku za usoni ili nyumba zetu za sasa tunazojenga ziendelee kuwa salama zaidi miaka yote bila kulazimika tena kujichomea nyumba tunayojijengea sisi wenyewe leo na kesho.

  Endapo tutaharakisha kidogo katika hili na ba Watanza mijini na vijijini, Bara na Visiwani, wake kwa waume, wasomi kwa akina kabwela; wao watapata sababu zuri ya kuwaaminisha kwa kwa HAIKO JIRANI KUTAWALIWA NA MIJIBWA - na ndio maana kila siku natumia muda wangu mimi kuandika humu kama sehemu ya mchango wangu kuhakikisha kwamba Tanzania ya NEVER GOES TO THE DOGS ambao hivi sasa wakichukua Mateka Chama Cha Mapinduzi ya enzi zile na kukibadilisha kabisa sura, dira na jalada zima.

  Sote tunalo jukumu katika hili la kuzuia nchi kutokwenda kwa mijibwa: na njia pekee na ya uhakika kufanya hivyo ni KUTETEA KWA GHARAMA YOYOTE ILE swala zima la Mchakato wa kuunda Katiba Mpya ya nchi chini ya mamlaka kamili na thabiti ya Umma wa Tanzania kujiamulia hatima yetu. Na kila siku hakikisha umeelimisha japo watu 3 tu juu ya jambo hili la msingi linalozidi kwa mbali tofauti zeti za kiitikadi nchini.

  Toa mchango wako katika hili tangu sasa na kuendelea!!!
   
 7. F

  FUSO JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,859
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  you have hit a target Lole Gwakisa, ila ningependa hii sentensi yako itafasiriwe kwa lugha yetu ya taifa ili ilete maana zaidi na watanzania wengi waweze kuielewa.
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Unayajua hayu mawazo aliyoyasema Tambwe au unakurupuka tu? Hebu edit hizo red items ili tuelewe wewe ndio sio KILAZA
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Yaani TAMBWE HIZZA NI CHANGUDOA WA KISIASA
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  spoken like a true al qaida and a first degree idiot,..sababu lipumba hazomewi ni kwa sababu hajawahi kuongea pumba kwenye makongamano,pumba zake ni kwenye mikutano yake ya hadhara ya lindi,tanga,mtwara,tandika na buguruni...
   
 11. S

  SON OF DAVID Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhuni wa Kisiasa?
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani hiyo ndo resouce ya CCM iliyobakia, wamtumie nani mwingine. Wameishiwa hawa.:redfaces:
   
 13. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,027
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  you are nut to think that those thugs from udsm did the right thing.kuhahilisha kongamano wamegain nini?sku zinakwenda na maamuzi yatafikia kabla wananchi hawajajadili kwa kina hasara hapo ni ya nani?
  Na huko dom wale udom walikwenda kwenye kongamano ama kurusha mawe?
  Growup man
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  another loser from chuo cha kata.
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Usmpandishe chati hivyo, haya ni matunda ya MEMKWA.
   
 16. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,027
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  huna point wewe you are just a nutjob from milembe
   
 17. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi tulitegemea CCM wamtume nani? Wakati alieteua mtu wa kuwakilisha ni Y. Makamba.
   
 18. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Tambwe si kada mwenzake Lipumba? tofauti ni LIpumba ni CCM Bwakati Hiza ni CCM A.
   
 19. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,027
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  G.T.F.O, I think i smell your bad breath umeswaki leo kid?.
  Huna point WHY DONT YOU GO AND PLAY WITH YOU DOLLS,i mean after you wash your mouth.
   
 20. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hao waliomzomea Tabwe si wavumilivu wa kisiasa, nani aliwaambia siasa ni kusikiliza unakokubaliana nako tu ? hao hawana tofauti na polisi waliorusha mabomu, wale wametumia mabomu ya moshi na hawa wametumia mabomu ya maneno.

  Siasa lazima uwe mvumilivu. Mwelevu humsikiliza mpumbafu jinsi anavyowaza na kutambua njia sahihi ya kudeal naye. Tanzania hakuna tofauti ya mienendo kwa vyama ktk sera, mtazamo na mwelekeo, tafauti yao ni kwasababu mmoja na bunduki na mwingine hana.Lakini wanaotumia silaha ya mdomo kunyamazisha mpinzani wakiwa na bunduki watazitumia kumnyamazisha zaidi.
   
Loading...