CCM kumtembeza Magufuli Mikoani kwa kutumia ndege ya Serikali ni Sahihi?

1. Nani amekiruhusu?

2. Wakati anakiruhusu ali-declare conflict of interests kwa umma?

Magufuli hajakodisha hiyo ndege huo ni Uongo wa Nape hiyo ndege haikodishwi labda watengeneze huo uzushi chap chap ili kuwazuga wananchi , pesa ya kukodishwa inaenda wapi? Kama ni ndege ya biashara je? TRA wanachukua Kodi? Mbona ATC hawaikodi ? na iweje ATC wakodi ndege kwingine hiyo ipo ? Huu ni uongo mkubwa Nape anapaswa ajipange Kwa hili kachemsha sana.
 
Ina maana mawakili wa chadema wanavyoambiwa kuwa ndege imekodisha na inawezekana kukodishwa hawaelewi?
Binafsi Nape anaweza kuwa ni muongo ila ingekuwa vema zaidi kama angeweka documents za kufhihirisha kuwa ndege ilikodishwa
Ni uongo mkubwa huo kwani ATC huwa wanakodi ndege nje iweje hawaikodi hiyo? na hizo pesa za kukodi anazosema Nape zilikwenda wapi?huo ni Ufisadi mwingine !
 
Nape Kwa hilo la kukodi ndege kachemsha sana Hata wakifoji rist hakuna atakayewaamini kwani Hata pesa ya kukodi lazima itakuwa haijakatwa Kodi na imeenda mifukoni Mwao kienyeji tu kuna ujanja ujanja hapo , Tatizo Nchi hii Ufisadi wa namna hii ndiyo wanaupenda Hata watu waseme nini hakuna hatua yeyote itachukuliwa .
 
Ki ukweli si halali na ni kampeni za mapema...unamtambulisha ni nani asiyemjua?..wakifanya wengine mtakuwa tyr kupokea nyie ma CCM?...napita zangu nipo kwenye 6 mie....
 
Hii ndege ndio mramba alitulisha nyasi hadi ikanunuliwa?
*Na leo inamnadi mgombea wa urais kupitia ccm?
Ngoja midahalo ikianza atatueleza
 
john pombe magufuli ..ni mtoto wa wazazi wahamiaji ...waliolowea katikati ya makabila ya wasukuma na wahaya .....anaongea lugha hizo mbili pia kwa ufasaha ...

Z

And the idea is to label Magufuli as an alien to the sukuma tribe and expect to chop some votes off...............? TOO LATE, WE, SUKUMA PEOPLE GIVE VOTES TO EVEN CHAGA PEOPLE WHO MIGRATED TO MWANZA AS ADULTS! AND, BETTER STILL, MAGUFULI IS JUST ACCEPTABLE ALLOVER THE NATION!
 
Ov hamkumbuki kuw dr slaa aliingiza kanisa katika.....ndo maana akasepea siasa..mbona hilo hamlisemi?
 
Mbona mnaokoteza vijitakataka na kufanya kama kashfa ati usafiri,hebu mleta uzi tuhakikishie kama chama hakijakodi,hebu tujadili mipango ya jinsi ganj tutaungana na magufuli kujenga taifa
 
Mbona mnaokoteza vijitakataka na kufanya kama kashfa ati usafiri,hebu mleta uzi tuhakikishie kama chama hakijakodi,hebu tujadili mipango ya jinsi ganj tutaungana na magufuli kujenga taifa

Watanzania hawawezi kunga mkono chama kilichokufa kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom