CCM kumfukuza Himid na kuwaacha akina Lowasa,Chenge .

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Imenishangaza sana kwa muda fupi tu imemfukuza kutoka kwenye CCM Himid na kuwaacha akina Lowasa na Chenge ambao wote tunajua wamekichafua chama na ndio walioleta mpasuko kwenye CCM hata wakaambiwa wajivue magamba ama sivyo watafukuzwa ,hadi leo hakuna hatua yoyote matokeo yake Himid anafukuzwa kwa kutetea haki yake ya msingi.

Ama kweli sikio la kufa halisikia dawa,kweli CCM hakuna usawa akina Lowasa na Chenge wapo juu kuliko wanachama wengine.
 
Wamfukuze nani! Uliza ile Single ya "Mapacha wa tatu" ni kwanini ilichuja hata kabla haijafikishwa sokoni? Chezea Lwaigwanan weye!
 
Wadau kama kuna mwenye videos za nape akiongelea kuvuana magamba ziwekeni hapa jamvini tucheke kidogo.
 
Ungebainisha makosa ya himid,lowasa na chenge ingekuwa vema ili watu walinganishe yawezekana makosa ya akina chenge yakawa hayana uthibitisho ikawa ni siasa tupu.
 
Chama cha WEZI, mwizi atafukuzwa kweli??? Narudia kitendo cha Mafsadi kubaki CCM HiMID kufukuzwa ni aibu kwa chama, sijui kwa nini bado tuna kitu kinaitwa CCM tanzania
 
...likingunge limewatukana,na lenyewe walifukuze basi. Minaona ishu ya unga inahusika maana kunavingunge wengine wanawatoto ni watuhumiwa...
 
Imenishangaza sana kwa muda fupi tu imemfukuza kutoka kwenye CCM Himid na kuwaacha akina Lowasa na Chenge ambao wote tunajua wamekichafua chama na ndio walioleta mpasuko kwenye CCM hata wakaambiwa wajivue magamba ama sivyo watafukuzwa ,hadi leo hakuna hatua yoyote matokeo yake Himid anafukuzwa kwa kutetea haki yake ya msingi.Ama kweli sikio la kufa halisikia dawa,kweli CCM hakuna usawa akina Lowasa na Chenge wapo juu kuliko wanachama wengine.

CCM ni kama "animal farm". Huko ni Orwellian culture tu...huhitaji kuongea sana. Weka macho tu umalize kimoyo moyo!
 
Back
Top Bottom