Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,624
- 218,050
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Nimepenyezewa taarifa iliyovuja kuhusu mkakati wa CCM wa kuwapanga wabunge kadhaa wanaofikia 25 akiwemo aliyetaka muda wa urais uongezwe , ambao kwa kufuatana watapokezana kuwatukana na kuwadhalilisha wazee wa CCM asilia , hii imetokea baada ya mkakati wa kwanza wa kuwarundika rumande wazee wastaafu kubuma , Taarifa za awali zinaonyesha kwamba tayari wabunge watatu kutoka kwenye kundi la CCM wamekwisha timiza walichotumwa .
Nzi wangu yupo STAND BY akiendelea kudaka kila kinachopangwa .
Mungu ibariki JF