CCM kukwepa kupeleka makada wanaotambulika siku zote kwenye kongamano la jukwaa la katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kukwepa kupeleka makada wanaotambulika siku zote kwenye kongamano la jukwaa la katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kupelwa, Sep 1, 2012.

 1. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 796
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Nimefuatilia kuhusu kongamano la mdahalo wa kongamano wa jukwa la katiba leo hotel ya Blue Pearl (Ubungo Plaza), imeonyesha kupeleka mtu tofauti kabisa kawaida tulivyozoea.

  Mdau huyo amejitambulisha kuwa ni mwanasheria wa CCM.Pamoja na kwenda kuchangia aliyoelekezwa kama msimamo wa chama, kwa hoja ambazo CCM inaamini kuwa ni za msingi kwenye kutoa maoni namna katiba mpya inatakavyokuwa, amezomewa karibu na umati mkubwa , hivyo kulazimisha mwenyekiti kibamba kumwomba ahitimishe ilikutunza muda, maake ilikuwa kama anapoteza muda.

  Je tafakari hayoaliyokuwa ametumwa jamii ya Kitanzania imechoshwa na hoja za CCM katika kuandika na kuwa nakatiba mpya?pia ni kipi kimefanya makada wa CCM kama NAPE na wengine waliozoeleka kukwepa kuhudhuria mpaka wapeleke mwanasheria wa CCM.?
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 6,857
  Likes Received: 3,989
  Trophy Points: 280
  Kama huyo waliyempeleka ndiye mwanasheria wao na miongoni mwa CREAM za CCM, sijui maamuma ndani ya hicho chama wakoje.
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,844
  Likes Received: 6,694
  Trophy Points: 280
  CCM imechokwa kila mahali.
   
 4. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,222
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Nimemwona,jamaa hata kusoma alichondika/alichoandikiwa imekuwa shida kwake
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Jamaa amezomewa na ukumbi mzima mpaka nimelia.Yule mwakilishi wa CDM alishangiliwa kwa mayowe.
   
 6. t

  tenende JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unajua kuitetea CCM katika nyakati hizi inakubidi uwe mwendawazimu usiyeweza kuona hata chembe ya uozo wa chama hiki!...
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,710
  Likes Received: 8,506
  Trophy Points: 280
  alipata wakati mgumu kwa kweli, nikapata wazo, kwa hali ilivyo sasa, mwana ccm hata akisema anauza noti ya sh. 10,000/= kwa sh. 5,000/= atazomewa, na anaweza kurushiwa makopo, ikiwa kuna mayai viza ndio itakuwa balaa, atajuta kimbelembele chake.
   
Loading...