CCM kujiweka madarakani imetumia migongo ya Polisi

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,930
3,803
Tuseme ukweli kila unaposikia CCM imeshinda basi hapakosi kuambiwa Polisi walifanya hili na lile na kuzuia lile na hili.

Kwa nini Polisi na wengine wanakubali kufanywa ngazi ,ngazi ambayo huwafikisha CCM kutimiza mahitaji yao ya kutwaa ushindi bila ya kupigiwa kura?

CCM imevigeuza vyombo huru vya serikali kuwa ngazi yao ya kufanya maovu au mema mengi ni maovu kuliko mema.
 
Halafu kesho kama waalimu wanakuja kulalama kuwa hawakulipwa haki zao wakati ni mamluki wanaozuia utawala bora,.... just imagine tunaamka kesho tukiwa na KATIBA mpya unayoruhusu tume huru ya UCHAGUZI,polisi wanaanza kutimiza kiapo chao cha kulinda raia na mali zao sio hawa greedy politicians,yeee na majaji wanapeleka maombi ya kuwa majaji wa mahakama kuu..freedom of press na expression!!na playing field ya political parties inakua level moja yeeee oops kumbe bado ninaota.....tuendelee kusubiri generation itakayobadili haya..
 
Tuseme ukweli kila unaposikia CCM imeshinda basi hapakosi kuambiwa Polisi walifanya hili na lile na kuzuia lile na hili.

Kwa nini Polisi na wengine wanakubali kufanywa ngazi ,ngazi ambayo huwafikisha CCM kutimiza mahitaji yao ya kutwaa ushindi bila ya kupigiwa kura?

CCM imevigeuza vyombo huru vya serikali kuwa ngazi yao ya kufanya maovu au mema mengi ni maovu kuliko mema.
CCM ipo ktk hatua ya mwisho kabisa ya Chama kupinduliwa na jeshi au na wananchi wenye hasira kali.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Watoto hawa wa masikini wamejisahau na sasa wamefanywa ngazi ya miccm kujitwalia madaraka.
Tuache utani imefikia polisi wanamuogopa hata mjumbe wa ccm maana utasikia ikisemwa wajumbe si watu wazuri.

Na mara nyingi hawa waliogeuzwa ngazi mwisho wao wanakuwa hawana mtetezi kwani walishajidharaulisha kwa kule kutumika kwao,ndio utaona wanaachwa wanadhalilika mahakamani,,,,mioyoni mwao wanapiga makelele upo wapi CCM uje kunisaidia na mimi Miccm inajibu ..lako hilo !
 
Back
Top Bottom