CCM kujenga Chuo Chao, Vyama vingine vikijenga msianze maneno, tunataka masomo tu.

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Maana nyinyi mkifanya kitu ni sawa, wakifanya wenzenu ni tatizo, Mlianza na Green Guard, wakafuata Blue Guard na Red Briguard, mkaanza oooooooo vikundi vya kihuni.

Oooooo Jeshi, Chungeni Sana vitu mnavyovianza,

Msisahau Bashite.
 
Labda nikukumbushe tu mdau,CCM walikuwa na chuo chao pale Kigamboni ambacho leo ndicho chuo cha kumbukumbu ya Mwalim Nyerere.........Pale ndipo walipokuwa wakipewa mafunzo ya uongozi.Na pamoja na kwamba viongozi kibaaao walipita pale,kilichojiri umekiona au unakiona, viongozi wengi wakaja kuwa si waadilifu na viburi...........Je chuo wanachotaka kujenga leo kitakuja na mitaala gani na wahadhiri watakuwa akina nani?
 
Back
Top Bottom