Ccm kuinunua rasmi kampuni ya ndege ya precision. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm kuinunua rasmi kampuni ya ndege ya precision.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kukumdogo, May 18, 2011.

 1. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 700
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba chama cha mapinduzi imenunua kampuni ya ndege ya precision na kuwapa wafanyakazi wanaohudumia ndani ya ndege magwanda ya kijani kama utambulisho wao. Habari zaidi nitaendelea kuwajuza
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kama habari hizi ni za kweli ndio mwisho wa precision.
   
 3. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM siasa zimewashinda sasa mnaingia kwenye biashara? vunjeni chama mfanye kampuni basi
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Mods tunawaomba hii thread iamishiwe kwenye jukwaa la jokes. jukwaa hili hatuitaji mizaa na mambo ya hovyo hovyo.
   
 5. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Watainunuaje wakati wanaimiliki wao..? au hujui km ccm ni majority shareholder wa precision?!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  upumbavu wa kupost vitu kama hivi unaharibu sana siku
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kwanini Tunadanganyana na hizi articles zisizo na kichwa?

  FOR YOUR INFO OWNER WA PRECISION ALITAKA KUNUNUA ATC SERIKALI YA CCM IKAMNYIMA; ALISHA WAHI KUWA MFANYAKAZI WA ATC NA KUNA WAKATI KULIKUWA NA WASAFIRI WENGI MWANZA; YEYE AKIWA MKUU WA KITUO WAZIRI MMOJA AKAPIGA SIMU ANATAKA FAMILIA YAKE TU ISAFIRISHWE ALIPINGA VIKALI MKUU WA MKOA AKAIDHINISHA WAZIRI AITUMIE; NA YEYE BAADAYE AKASHUSWA CHEO.

  AKIWA NA PRECISION ALIKUWA ANATAKA KUTUMIA ANGA LIKO KIA AKANYIMWA NA WAZIRI WA CCM; SO HAWEZI KUUZA KWA CCM
  WATU ACHENI UPUUZI WA HABARI
   
 8. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  nngu007 habari si ya kweli hilo tu linatosha, hayo maelezo mengine kuhusu hizo bif na nini hayasaidii sn, km ikitaka kuiuza kampuni na ccm wakafika dau linalomridhisha atawapa tu, si ni biashara, haihitaji ujiapize sn. Napita tu!
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  There are currently 0 users browsing this thread. (0 members and 0 guests)
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Hay sasa tuone wasio ccm wasiipande hiyo ndege, si ya ccm?
   
 11. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,691
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Huyo aliyekuwa anafanya kazi ATC aliwezaje kuanzisha shirika lake la ndege?....huu ndio ufisadi unaotakiwa kushughulikiwa
   
 12. Ole

  Ole JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2011
  Joined: Dec 16, 2006
  Messages: 751
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wasinunue kwa pesa za walipa kodi tu.
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  CCM hawana capacity ya kuinunua au kuiendesha Precision Air. SUKITA yao iko wapi? Kama kuendesha duka na kufuga kuku (tena kwa kuingiza vitu na kuajiri watu bila kulipia kodi) kuliwashinda wataweza kuendesha kampuni ya ndege? I believe this is a joke.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Itakuwa SUKITA mpya hiyooo, CCM kama vile wana chuma ulete kila wanachomiliki kinafirisika
   
 15. l

  luckman JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  we said matola!these are jokes then!unadhani wanaweza kupata abiria na magwanda yao hayo????
   
 16. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 700
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 80
  magwanda mapya yana nembo ya CCM kwa pembeni. kwakweli itabidi tusiitumie tena hii kampuni ya CCM
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  SOSI plz, usitufanye tujadiri kisichowezekana.
   
Loading...