Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 3,995
- 5,432
Habari wana JF...
Kweli siasa ni tamu hasa kwa wenye kipaji cha ushawishi wa hoja.
Leo asubuhi nimebahatika kuona kipindi cha mjadala star tv kikiwa mwishoni pakiwa na mada inayohusiana na Viwanda na kilimo sikumbuki mada iliandikwa vip lakini ili husu hoja hio.
Mchambuzi aliyekua na mtangazaji wa kiume alikua ni kijana mwenye kajinafasi ccm mkoa wa kagera au wilaya ya Bukoba,
Huyu kijana alijitahidi saana kukomaa na hoja kwakutetea yale ambayo serikali ya awamu hii wanafanya na hata kama yaliyo feli yeye alikua na sababu ambayo hakuhusisha serikali na lawama ziliekea kwa wananchi na wapinzani..
Kiukweli alikua anajiamni kiasi cha kumshawishi mtu mwepesi na kuamini kinachoendelea!!! (sina maana ni mabaya matupu) hii imenidhibitisha kwakua palikua namtu ambaye amekua akifuata mkumbo wa kumpinga na kukosoa anayoyafanya mh rais wetu.
Na nilipokua kazini wakati wa mapumziko ya mchana tukipata chakula sehemu fulani paliibuka mjadala juu ya mwenendo wa uchumi na siasa ya nchi yetu, palikua na mtu mmoja bana alikomaa kuitetea serikali kiasi ambacho aliweza kuwashawishi walejamaa mpaka wakabaki bila hoja.
Nikafikiria kwamba ccm bado inanafasi kuubwa saana kuongoza nchi hii kama itapata wanasiasa wazuri wenye ushawishi wa hoja kufikia uwezo wa kuhalalisha hata jambo lililofeli au lenye matokeo mabaya. (si halalishi ufedhuli)
Wakati huu Chadema wakiisumbua serikali ya ccm kwa hoja za udikteta uchwara, mkwamo wa kiuchumi, usalama wa raia na viongozi, matumizi mabovu ya matamshi pamoja na maamuzi yasiyo na tija nadhani kama ccm ikiamua kuwatumia wanachama wajenga hoja na wataalamu wa propaganda hakika Chedema hawatopata kiti hata kimoja bungeni wala huruma na wananchi.
Dodoma msifanye makosa.
Tumuokoe rais wetu
Mimi ni mzalendo.