CCM kuhatarisha uhuru wa chama kwa kutegemea wafadhili matajiri ni kusaliti wananch? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kuhatarisha uhuru wa chama kwa kutegemea wafadhili matajiri ni kusaliti wananch?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chal, Apr 10, 2011.

 1. C

  Chal Senior Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wakuu,
  Taarifa zilizotufikia humu jamvini ni JK (mwenyekiti wa CCM) Kulalamika kuwa CCM kuendelea kutegemea wafadhili matajiri ni kuhatarisha uhuru wa chama. Maswali ya kujiuliza hapa ni kuwa,
  1. CCM kama chama kinachounda serikali kimelinda maslahi mangapi ya hawa matajiri kwa kukosa kwao uhuru?
  2. Je, CCM ilikuwa wapi siku zote mpaka leo ndiyo iamke usingizini na kujua hakiko huru?
  3. Kimya hiki cha CCM kilichosababisha matajiri kupoka uhuru wa chama na kuzidi kujinufaisha si usaliti kwa wananchi masikini?
  Naomba kuwasilisha.
   
 2. C

  Chal Senior Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haitoshi kuwa na katibu mpya! Bado mafisadi wameendelea kubaki.
   
 3. n

  niweze JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu ccm kuchukua misaada ni jinsi gani ya wao kuchukua-cover ili wananchi wasijue kiasi gani wanatuibia. ccm wanatumikia wahisani; IMF, WB, na donors wengine na wala hawani kuna umuhimu wowote ule wa kuwajulisha watanzania kwamba wanachukua miasaada kiasi gani na tunadaiwa shilingi ngapia mpaka leo hii wakati the burden ina-fall kwa future generations kulipa wasichokijua. Hii ndio ilimfanya makame na nec waibe kura kwa wingi ili kuhakikisha hakuna mtanzania mwingine aingie na kufichua siri zilizomo ndani ya serikali na jinsi gani wameiibia tanzania. Wangeingia chadema Ikulu trust me kikwete, mkapa na mwinyi wao wangekuwa wakwanza kwenda jela keko. Tutafika tu kwa hii push ya democracy tanzania.
   
 4. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we ulitaka yabaki ivyo ivyo?
   
 5. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na nyie si mnahisaniwa na SABODO WE ULITAKA IMF ,WB WAONGEE NA CHADEMA WAO KAMA NANI?WAOMBE KWANZA RIDHAA KWA WANANCHI ILI TUWARUHUSU KUTUHIFADHIA MFUKO WETU WA HELA "EX CHEQUE" utaona wanajuana na wahisani kibao.TATIZO LA CHADEMA TAYARI WAMESHAONEKANA NI WEZI WAKUBWA KAMA WANAWEZA KUJIIBIA RUZUKU YAO YA CHAMA TUKIWAPA NCHII HII? SI WATAJENGA BILLCANASS KILA MKOA NA WILAYA WAPATE HELA INSTEAD OF SHULE ZA KATA
   
 6. n

  niweze JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi umeandika mwenyewe au AP wa ccm amekuandikia? This terrible to see some mess up the thread.
   
Loading...