CCM kufungua TV yao...katika kukabiliana na upinzani

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,212
78,137
Chama cha Mapinduzi.(MAGAMBA)..wana mpango wa kufungua Tv yao..Itakayoitwa UHURU TV...
na hawa ndio watakaosimamia kazi ya uanzishwaji wake
1.Abdulahaman Kinana
2.Zakia Meghi
3.Wiliam Lukuvi

Source:Mtanzania

My Take..hii inabidi iwe changamoto kwa vyama vingine..Hasa CDM
ila kubwa ya yote..itaangaliwa..
nani mlengwa wao..nawasilisha
 
Back
Top Bottom