Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Kumekuwa na hii hali ya mashabiki wa CCM kuibeza CHADEMA kwamba ni chama kinacholea mafisadi, kwa mfano Lowassa, wakati mahakama ya mafisadi ipo, lakini hawapelekwi kufunguliwa mashtaka.
Kama kweli sera ya CCM ni kupinga na kumaliza ufisadi kwa nguvu zote, ukakasi unatoka wapi kuwapeleka hawa mnaoiaminisha jamii kwamba ni mafisadi na mnaonesha kwamba mna uhakika zaidi.
Mkuu anaogopa nini? Au anaogopa critical figures katika chama kuguswa? Au hata yeye kuna sehemu kafanya ufisadi so anaogopa kibao kitageuka? Basi kama anaogopa, basi haina maana sana kuendelea kuwaita mafisadi.
CCM wanasahau kwamba kila mtu ni "Innocent until proven guilty"