Ccm kuanzisha chama chuo cha maadili ya kifisadi?

  • Thread starter Eliphaz the Temanite
  • Start date

Eliphaz the Temanite

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
2,890
Likes
462
Points
180
Eliphaz the Temanite

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
2,890 462 180
Habari ya CHADEMA kwamba wanataka kuanzisha chama cha maadili ya uogonzi nimeipokea kwa furaha kubwa na inaonyesha jinsi gani chama hiki kinayodhamira na mwelekeo sahihi. Huo ni ukomavu wa kisisasa. ukitaka viongozi waadilifu lazima uwafuge na uwapalilie vivyo hivyo Uzalendo.
Moni yangu ni kwamba tunataka chuo hiki kiwe ni chuo kikubwa kwa maana ya uwezo wa kudahili idadi ya wanafunzi, kitoe elimu bora ili kiweze kuharakisha kujenga discipline kwa watumishi na viongozi wa serikali.
Wananchi walio na mapenzi mema na nchi hii tuko nyuma yenu na fanyeni utaratifu tuweze kuwachangia. Waonyesheni mfano wananchi ya kwamba mnaweza kutekeleza kile mnachopanga kwa mafanikio na Huyo Zitto kabwe Mfukuzeni mara moja ndani ya chama

Kwa vile watani wenu chama cha kijani hupenda kufanya kinyume na mnachofanya huenda wao watajenga cha cha maadili ya mafisadi!
Teheteheeeee
 

Forum statistics

Threads 1,237,184
Members 475,465
Posts 29,280,566