CCM kuandamana nchi nzima

Emmanuel J. Buyamba

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,167
651
Ni kupitia taarifa ya habari ya Star tv saa mbili usiku huu. Mwenyekiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndugu Matefu
kasema wataandamana kumshinikiza balozi wa Ujerumani nchini kuzikemea taasisi za kijerumani wanazozishuku kwamba zinavuruga mchakato wa katiba mpya nchini.
 
Walevi wa madaraka hawa, serikali ni yao, Rais Pm M.Rais,Mkuu majeshi wote ni wao wanamlalamikia nani kwanini wasimwabie mwenyekiti wao achukue hatua..???

Eti tutaandamana.....pambafuu

BACK TANGANYIKA
 
tatizo huyu Matefu anafikiri Ujerumani ni wababaishaji kama Mashetani (CCMafisadi)
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha

10426135_1539270316292097_7540771633557645328_n.jpg
 
Ni kupitia taarifa ya habari ya Star tv saa mbili usiku huu.Mwenyekiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndg Matefu
kasema wataandamana kumshinikiza balozi wa Ujerumani nchini kuzikemea taasisi za kijerumani wanazozishuku kwamba zinavuruga mchakato wa katiba mpya nchini.

taasisi gani wanazozishuku....CCM ni janga la taifa hili, ni sawa na mtu kunywa dawa iliyofika tarehe yake ya ukomo wa kutumika.

CCM has Expired
 
taasisi gani wanazozishuku....CCM ni janga la taifa hili, ni sawa na mtu kunywa dawa iliyofika tarehe yake ya ukomo wa kutumika.

CCM has Expired

Amezitaja nyingi sana mkuu,mojawapo ni vyama vya Conservative na C.D.U.
 
Ni kupitia taarifa ya habari ya Star tv saa mbili usiku huu.Mwenyekiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndg Matefu
kasema wataandamana kumshinikiza balozi wa Ujerumani nchini kuzikemea taasisi za kijerumani wanazozishuku kwamba zinavuruga mchakato wa katiba mpya nchini.

Embassy and Consulate are not able to intervene with mambo ya siasa wamuachie kilaza Mbowe na kilaza mwezake Slaa
 
Huyo Matefu mara hii amesahau yaliyomkuta Masele alipo mtuhumu balozi wa Uingereza!
 
Back
Top Bottom