singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Ngoma imempata mpigaji, Chadema wajiandae kupokea makapi mengine zaidi baada ya JPM kuwa mwenyekiti CCM baada ya JK kustaafu.
Ngoma imempata mpigaji, Chadema wajiandae kupokea makapi mengine zaidi baada ya JPM kuwa mwenyekiti CCM baada ya JK kustaafu.
unaweza kukuta yeye mwenyewe hata hajasoma hilo gazeti.kalipiga picha kwenye kibanda cha kuuzia magazeti!Nilidhani ungetoa sasa uchambuzi wako ili sisi great thinkers humu JF tushibe " nondo " zako badala yake umekopi na kupesti vile vile kitu ambacho sijui kama kina tija yoyote ya kimantiki kwetu. ( Ungetuambia nini chanzo, wapi kama Watanzania tulikosea, nini kifanyike na nini athari yake kiuchumi na kwa Wananchi sisi ungekuwa umetusaidia sana ).