CCM Kilimanjaro acheni Kamati Kuu ifanye kazi yake

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
WACHENI KAMATI KUU IFANYE KAZI YAKE

Kwa sasa Kura za Maoni zimeshapigwa na Tayari Kamati kuu zina Picha halisi za Wagombea ambao wanawahitaji kuwezi kupeprusha bendera ya CCM kwenye Majimbo na kata.

Wakati wagombea wakisubiri Matokeo juu ya Mgombea gani atapata ridhaa ya Kupeperusha Bendera ya CCM ni wakati wagombea hao wakawekeza nguvu katika kuelezea Mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi kwa Miaka mitano iliyoisha na kueleza ni faida ipi Wananchi wataipata iwapo wataipa nafasi CCM ya kuwaongoza katika kipindi kingine cha Uchaguzi. Nimeona kule Arusha wanachama wa CCM, Viongozi na Wagombea wanatumia Muda mwingi kupakana Matope na kutafuta Mchawi.

Huko Moshi napo hali ipo hivyohivyo kwa Baadhi ya Wagombea waliokua kinyume na Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi wa 2015 na. kumpinga waziwazi Aliyekua Mgombea Ubunge Ndugu Davis Mosha.

Baada ya wao kusaliti sasa wanaona yale waaliyofanya wao wanafanyiwa pia. Baada ya kukosa ushindi wa Kishindo kama walivyoamini, Baada ya kushinda kwa tofauti ya Kura tatu sasa wanaeneza maneno ya kujitetea kuwa Mgombea wa Mwaka 2015 ndiye aliyemsaidia Mshindi wa pili. Hii haiingii akilini kabisa,

Wakati wa Kura za Maoni Mwaka 2015 aliyepewa Ridhaa ya Kugombea Jimbo la Moshi alipata Takribani kura 7000 huku aliyefuata alipata takribani kura 700. Ukitazama Uwiano huo ndio ambao unamuumiza kichwa Mshindi wa kura za Maoni kwa kupata ushindi Mwembamba na kuamua kuanza kumchafua mgombea ambaye Alisema atabaki kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi, Atashiriki Shughuli za Chama za Wilaya Mkoa na Kitaifa illa hatogombea tena nafasi hiyo na hilo alilisema tarehe 30/10/2015 pale viwanja vya Relini Moshi.

Fikra za kusema amemsaidia Mshindi wa pili wa Kura za Maoni huo ni Ulofa, Kama yeye anaweza kufanya hivyo kwanini Asigombee yeye? Tusijiaminishe Ujinga, Kwenye siasa lazima uelewe Wajumbe ni watu makini sana, Wanasikiliza killa mgombea, Na kila mgombea ataambiwa *"TUPO PAMOJA NA WEWE"* Akili za kuambiwa Changanya na za kwako. Msipoteze Muda wenu na kuweka vikao kwa mtu ambaye ssi kiongozi katika chama, Haingii katika kikao chochote katika chama zaidi ya kuwa mwanachama wa kawaida tu.

Kama mmeweza kuweka Uongozi anzia ngazi ya Kata mpaka Mkoa kwanini muwe na hofu na huyo Mwanachama ambaye alishastaafu siasa.Na ndani ya Chama mtu yeyote ambaye ni Mwanachama na si Mjumbe ana haki ya Kumuunga mkono Mgombea yeyote bila kuvunja sheria za nchi na katiba ya chama. Hii ni haki yake ya Msingi.

Wacheni Kupiga Kelele
 
RUSHWA NI MBAYA SANA
 
RUSHWA IMENUKA SANA KTK KURA ZA MAONI KILA MAHALI.HUKU KWETU TAJIRI WA MADINI KWA RUSHWA KASHINDA,MBUNGE ANAYETETEA NAFASI KASHINDWA INGAWA NAYE ALITOA RUSHWA,WENGINE WAMETOA RUSHWA KIDOGO WAMEAMBULIA KULA 16 HADI 5,4 HADI 0 HAWAKUTOA RUSHWA
 
Back
Top Bottom