CCM kikwazo cha mwisho ktk uhuru wa kiuchumi,fikra na maarifa ktk ukanda huu wa Africa.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Si wengi watakubaliana nami ila wenye akili watakubali kuwa CCM ndicho kikwazo cha mwisho ktk kuuweka ukanda huu wa Africa huru na Africa nzima.NA very soon Giza litaondoka ktk anga hii na tutapiga wimbo "THE STORM IS OVER" zaidi ya mwenzi mzima. Kwa walioona kutu,uovu, ushambini na uwezi kupambanua wa CCM.Ukiextend hizo fikra ktk maendeo Tanzania ina influence na jinsi tunatumika kuimaliza Tanzania nchi iliyo na umuhimu kwa uhai wa mataifa yanyotungukuka.Jinsi CCM walivyo busy kuiuza Africa,kuipotosha Africa. Mtakubaliana nami kwanini wingu la mwisho ni CCM. UDSM imekuwa inapika propaganda mbaya sana, zilizoharibu wasomi wa TZ na uakanda huu..ili wawe failure na evil km wao.Wasomi km akina Bana,Mazrui, Shivji etc ..ndio walikuwa na wanaendelea kuwa great defenders,think tank wa CCM.Influence ya TZ ktk kuwanunua watu ili china iwe na nguvu na ushawishi na upendeleo ktk jamii ya kimataifa ndio iliyoita china utajiri mkubwa wa Africa na sehmu nyingine.Leo China wanamaliaza kila kitu,hadi ziara ya raisi tunayoisifia inatupiga kisu kwa nyuma.SIJAWAHI FIKIRIA KM CCM WALISHAWAHI JIULIZA KM MTANZANIA ANGEIBA PANDA UCHINA km ikulu DAR ingelala usingizi.Wasiojua issue ya China na Panda wawaulize warusi, wamarekani,wajapani etc.Hadi cartoon za panda zinavunja record uchina. Najua majirani zetu nao watampigia magoti Mungu na Kumshukuru kuwa shetani aliyezaliwa na kukua jirani yao kakimbizwa.Sasa nao wataiona TZ inayositawi na kusitawi kiasi chao kupata nuru kihalali,kuwa salama pembeni ya Tanzania.wataona furaha ya kutokuwa na makundi ya waasi yanayolelewa na CCM kwa kazi za mataiafa makubwa yenye itikadi pingamizi.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Hivi tumewahi lipya nini kuwa mercenaries wa kupindua serikali za wengine ,vyama vya upinzani etc tangu tupate uhuru?CCM is OUR LAST FRONTIER TO FINAL LIBERATION.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
Klabu ya wachovu wa manamba wa vita baridi na progranda za mashariki ya kati na mbali africa.Imechoka vibaya.Sasa inatete uhai kwa mara ya mwisho.THIS OS OUR LAST FRONTIER...CCM inajitangaza yenyewe very kuwa ni AXIS Of EVIL.Watanzania tunaifanya project ya kuimalizia.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
kwa mazungumzo yanyoendelea tayri yaleyale ya rsimu ya CCM yanakuja.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
kwa yanyoendelea ya kula rambirambi na uji wa mgonjwa CCM ni kikwazo cha mwisho.....hii thread imezidi kuwa relevant tena na tena.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom