CCM:kauli hizi zinatufundisha nini?

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Baadhi ya viongozi wametoa kauli hizi,je,ni za kizalendo?

1.kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwr(MRAMBA)

2.foleni dar ni ishara ya maisha bora(JK)

3.acheni wivu wa kike(MSEKWA)

4.asiyeweza kulipa nauli apige mbizi(MAGUFULI)
5.baada ya kutumia helkopta ya jeshi kwenda nayo urambo!mlitaka nipande punda"(KAPUYA)

6.wabunge wa dar wsnafikiria kwa kutumia makalio(MA------)

7.ukitaka kula lazima uliwe kidogo'sina maana hiyo'!(JK)
8.mnaniuliza mvua kwani mimi qaziri wa mvua?(WASIRA)
9.kila mwananchi atabeba msalaba wake nwenyewe(MKULO)

10.wanafunzi wanaopata mimba ni viherehere vyao(JK)

11.wapigwe tu tumechoka(mh.PINDA)


kiongozi kama mfano wa kuigwa,hapa tunaiga nini?
 
In order to move from where we are now to next stage we need now to be told truth. Soft language or lies wont help us solve our current problems
 
Kila kauli ilikuwa na sababunyake na maana yake. Badala ya kunukuu kauli, ulipaswa kueleza ilitolewa kwenye muktadha upi
 
Muktadha upi unaoruhusu kutoa kauli za kipu..mbavu kama hizo?????????.
Mara ngapi nyie mnatukana sana humu JF. Kwani hao waliotoa hayo maneno si binadamu kama wewe ambaye kila kukicha unatoa ushuzi humu?
 
Mara ngapi nyie mnatukana sana humu JF. Kwani hao waliotoa hayo maneno si binadamu kama wewe ambaye kila kukicha unatoa ushuzi humu?

kweli mkuu hawa jamaa kazi yao ni matusi tu na kenjeli kwa wengine.
 
Mara ngapi nyie mnatukana sana humu JF. Kwani hao waliotoa hayo maneno si binadamu kama wewe ambaye kila kukicha unatoa ushuzi humu?


Hivi nyie watu wa ccm mbona mnapenda sana mambo ya ushuzi? Wengine huwa tunanunua hiyo kitu...msije fanya taifa zima liwe la wapenda ushuzi. Kama na wewe unaushuzi mm nanunua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom