swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,251
- 1,467
Baadhi ya viongozi wametoa kauli hizi,je,ni za kizalendo?
1.kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwr(MRAMBA)
2.foleni dar ni ishara ya maisha bora(JK)
3.acheni wivu wa kike(MSEKWA)
4.asiyeweza kulipa nauli apige mbizi(MAGUFULI)
5.baada ya kutumia helkopta ya jeshi kwenda nayo urambo!mlitaka nipande punda"(KAPUYA)
6.wabunge wa dar wsnafikiria kwa kutumia makalio(MA------)
7.ukitaka kula lazima uliwe kidogo'sina maana hiyo'!(JK)
8.mnaniuliza mvua kwani mimi qaziri wa mvua?(WASIRA)
9.kila mwananchi atabeba msalaba wake nwenyewe(MKULO)
10.wanafunzi wanaopata mimba ni viherehere vyao(JK)
11.wapigwe tu tumechoka(mh.PINDA)
kiongozi kama mfano wa kuigwa,hapa tunaiga nini?