Elections 2010 Ccm katika mtego mwingine

mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Kitendo cha "mzee wa vijisent"kuchukua fomu ya uspika ili kulinda maslahi ya mafisadi bungeni,ni mtego mwingine kwa serkali ya kikwete na wabunge wake baada ya ule wa kikwete kupita majimbon akiwanadi,wakimpitisha tu upinzani utapata agenda ya kuanzia ambayo hata wafadhili watawaunga mkono,wadau mnaonaje?
 
Sikio la Kufa halisikii dawa, kama mzee wa vijisenti akikubaliwa tu jina lake kupiwa kura kwa nafasi ya Uspika nitaamini kweli kifo cha ccm kimefika hata Maralia sugu apige kelele kwa namna gani atakuwa tu anaisindika kaburini. Maana Chenge ni miongoni mwa watu walioipa ccm taabu mbele ya wapiga kura mwaka huu
 
Sio tu mzee wa vijisenti, bali hata akina mzee wa rich-mond-uli, na akina mahanga -waliokwapua mabox ya kura za watu wazi wazi, kama watapewa tena posta ina maana nzito sana kwa future ya taifa na sio CCM - kwani wao is just kikundi tu, na dhamana ya taifa ni hundredth times CCM. Dhamana ya taifa ni tofauti na kikundi hivyo taifa isiguswe na jamaa hawa!
Tulitathmini hili.
 
Sio tu mzee wa vijisenti, bali hata akina mzee wa rich-mond-uli, na akina mahanga -waliokwapua mabox ya kura za watu wazi wazi, kama watapewa tena posta ina maana nzito sana kwa future ya taifa na sio CCM - kwani wao is just kikundi tu, na dhamana ya taifa ni hundredth times CCM. Dhamana ya taifa ni tofauti na kikundi hivyo taifa isiguswe na jamaa hawa!
Tulitathmini hili.
 
Najaribu kufikiria jinsi wabunge wa ccm walivyopata ubunge kwa gharama kubwa(kununua shahada,kuhonga wasimamizi,mawakala)halafu wakutane na vijisenti kupooza machungu sipati picha namwona fisadi akivaa joho yetu macho
 
jamani hawa mafisadi hawawajali wananchi hata wote tukifa, ujue mtu mzima mshipa wa aibu umekatika, JK anaangalia hivi kweli CHENGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ni wa kufikiria hata uspika? na wana CCM wanafurahia, kweli akupigae risasi hachagui pa kukupiga anakuua puuuuuuuuuuhhh, sijui naota au, CHENGE au am i dreaming...!!!!!? haki ya shetani, duuh
 
hivi mnashangaa nini watuhumiwa kuteuliwa katika nafasi nyeti... JK aliwanadi watuhumiwa wakati wa uchaguzi na akatetea kitendo hicho siku alipofanya mkutano na waandishi wa habari. .. So Chenge atatumia kigezo hicho kuwa bado hajatiwa hatiani.. binafsi nafurahi sana CCM watakapoweka mtu atakayekandamiza demokrasia bungeni kwa sababu wananchi watakasirika zaidi na upinzani utapanda juu zaidi na kujitengenezea mazingira mazuri ya 2015. Si mnakumbuka pale bunge lilipotumia udikteta kumfungia Zitto Kabwe, mnakumbuka hasira za wananchi zilikuwaje... NGUVU YA WATU NI NGUVU YA MUNGU..
Mimi nasubiria wachague mtu wao na wapinzani watumie opportunity hiyo kujiimarisha!!!. Malaria Sugu unasemaje hapo
 
Mimi napendekeza Mwakyembe ndo anafaa kuwa Spika wa bunge. Lakini hao wengine, tutegemee ngumi bungeni kama kenya pindi ileeeee! Yangu macho
 
Back
Top Bottom