CCM: Joka lililofugwa na Mwalimu

Shetemba

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
883
889
Chimbuko la chama mapinduzi ,kilkuwa hivi mwalimu nyerere baada kuwasoma watanganyika na kugundua kuwa ni mijitu ambayo aina elimu na majinga,wakati yeye akiwa na elimu yake ya chuo kikuu cha Makerere cha Uganda.Alianzisha chama cha TANU baadaye CCM.

Hakika hakugundua kwamba siku azigandi,alijitaidi kujiimarisha kimadaraka kwa kutumia ngozi ya CCM,siku ziliisha
Ikabidi atoke kwa nguvu za wazungu kimya kimya lakini aliongopa na kujifanya kuwa ameng'atuka , alichosahau ni kubadilisha chama chake badala ya kuwa ni chama cha wananchi akakiacha kikiwa vile vile ni chombo cha RAISI aliye madarakani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atimaye linawameza watanzania mmoja mmoja
FB_IMG_1540123229769.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwatakie usiku mwema akili ndogo mnaohoji ujoka wa CCM badala ya maisha yenu na ujoka wa akili zenu dhaifu kama Tundu Lisu.
 
Back
Top Bottom