CCM: Joka lililofugwa na Mwalimu

Shetemba

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
586
500
Chimbuko la chama mapinduzi ,kilkuwa hivi mwalimu nyerere baada kuwasoma watanganyika na kugundua kuwa ni mijitu ambayo aina elimu na majinga,wakati yeye akiwa na elimu yake ya chuo kikuu cha Makerere cha Uganda.Alianzisha chama cha TANU baadaye CCM.

Hakika hakugundua kwamba siku azigandi,alijitaidi kujiimarisha kimadaraka kwa kutumia ngozi ya CCM,siku ziliisha
Ikabidi atoke kwa nguvu za wazungu kimya kimya lakini aliongopa na kujifanya kuwa ameng'atuka , alichosahau ni kubadilisha chama chake badala ya kuwa ni chama cha wananchi akakiacha kikiwa vile vile ni chombo cha RAISI aliye madarakani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,164
2,000
Nchi ilikabodhiwa kwa mashetani, mazindiko, matambiko na makafara ndio msingi wa CCM.
Jiulize ni mapinduzi gani yamefanywa na CCM?
 

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
961
1,000
Niwatakie usiku mwema akili ndogo mnaohoji ujoka wa CCM badala ya maisha yenu na ujoka wa akili zenu dhaifu kama Tundu Lisu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom