Mada ya kichokozi, haya tujikite na ugawanaji na uchangiaji wa keki ya taifa, wafanyakazi husimamia mapato, kukusanya kodi, uzalishaji mali na huduma then mgao 5000 kwa cku rejea kima cha chini 150000 kwa mwezi, mwanasia hasa mbuge 12mil including marupuru. Mkulima haina haja ya kueleza hali halisi ni mbaya mbovu enhe! Tafakari tafuta jibu weka kichwani!