CCM iwe makini na mabadiliko ya Tabia nchi, tishio la ukame na njaa siyo la kulipuuza kisiasa na kiuchumi

Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA.

Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka 1980 tulipokula ugali wa yanga na ule mweusi wa unga wa mtama basi mustakabali wa CCM utakuwa mashakani.

Ni lazima serikali inunue mahindi yote ya wakulima wetu na kuyahifadhi badala ya kuyauza nje ya nchi, anasema.

Mtanzania akiwa na njaa hadanganyiki kwa pipi, amemalizia Mgaya

Mungu ni mwema wakati wote!
Lini ccm iliwahi kuwajari wananchi?
 
Pia msisahau upungufu mkubwa wa maji kwa ajili ya watu na mifugo, nimeona gesi kupanda kimya kimya.....mwezi uliopita nilinunua elf 43, mwezi huu nimelipa elf 50, haya endeleeni kudemka na tozo hadi nchi ibaki na mti mmoja...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom