CCM itawezaje kuzuia kupitisha Lowasa kugombea urais?

makolola

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
767
170
kutokana na maelfu ya wadhamini anayopata ccm watatumia mbinu gani kumtoa maana watangania nia wengine hawapati wadhamini wengi kama yeye. ni nini effect ya kumtoa mtu anayeungwa mkono na amelfu ya wanachama nchi nzima kwa uhai wa chama hicho?

lowasa mpaka sasa anaonekana kukizidi chama nguvu
 
  • Thanks
Reactions: Gor

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,233
2,000
kutokana na maelfu ya wadhamini anayopata ccm watatumia mbinu gani kumtoa maana watangania nia wengine hawapati wadhamini wengi kama yeye. ni nini effect ya kumtoa mtu anayeungwa mkono na amelfu ya wanachama nchi nzima kwa uhai wa chama hicho?

lowasa mpaka sasa anaonekana kukizidi chama nguvu

Na si umeskia bila posho wadhamini hawajitokezi?

CCM is more than Lowassa, watamkata na hutasikia choko choko yeyote. itakuwa shega tu kimya kimya
 
Nguno Buchenja

Senior Member
May 3, 2012
142
225
Kama kigezo cha kujaza watu kwenye mikusanyiko ndicho kitatumika kwenye mchujo, basi EL tayari keshamaliza kazi, asubiri kujua majina ya wagombea kupitia vyama vingine vya siasa, maana wanasema hawahitaji kujua tena juu ya kamati mbalimbali mara za Wazee Washauri, Maadili nk. Kamati zile zipo kunogesha mchakato tu, hakuna jipya watakalotoka nalo. Kazi imeshakamilika.
 
Umsolopa ganz

Senior Member
Jun 11, 2015
162
0
Mmeishaambiwa wadhanini wengi ni mbwebwe tu, does not add any value

SUALA LA MSINGI SANA LINALOJIBIWA KI-HOFYO-HOFYO/
shame to our politicians/
extra energy shall be used/ to introduce un popular one!/ out of votes thefts
 
ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,196
2,000
CCM inaweza sana kumzuia Lowassa na kumfukuza kabisa kwenye chama kwa kosa la kukigawa chama na pia kupenyeza milungula katika makundi mbalimbali
 
  • Thanks
Reactions: DSN

prince dudu

Senior Member
May 24, 2015
109
225
Kwa hilo wala usiwaze kwasababu anawafuasi wengi alafu vigogo wenyewe wameridhia kumpa.
 
makolola

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
767
170
Mmeishaambiwa wadhanini wengi ni mbwebwe tu, does not add any value

hao washamini kumbuka ni wanachama halali wa ccm, sasa kama wanaccm wengi wakionekana maamuzi yao kutofuatwa nini mustakabadhi wa chama pale pengine kipenzi chao akiamua kwenda chama kingine au kutotoa ushirikiano kwa atakayepitishwa?
 
mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
1,225
ushaambiwa wadhamini wanaangalia mwenye dau kubwa ni nani so far kigezo hicho kimekufa rasmi...megundulika kwamba wadhamini wanatafutwa kwa kwa kupewa hela....sumaye limemkuta mbeya amepata wadhamini 45 for free lakini timbwili lake ameweza kuliona wale wajamaa walikomaa wakitaka pesa .....hadi kufikia kutaka kuchana form majina yao yatolewe wamsubiri mgombea mwingine....ccm bila rushwa haiwezekani
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,125
2,000
Use your common sense. Inawezekanaje mgombea mmoja apate wadhamini wote hao wakati wachache kwa mwingine wanadai wapewe nauli?

Maana yake ni kwamba ule mchezo wake wa watu "kumwomba" agombee, anaundeleza kwa njia ya wadhamini. Lowassa hawezi kuwemo katika wagombea bora 50 wa ccm!
 
Lekakui

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,451
2,000
kutokana na maelfu ya wadhamini anayopata ccm watatumia mbinu gani kumtoa maana watangania nia wengine hawapati wadhamini wengi kama yeye. Ni nini effect ya kumtoa mtu anayeungwa mkono na amelfu ya wanachama nchi nzima kwa uhai wa chama hicho?

Lowasa mpaka sasa anaonekana kukizidi chama nguvu

itakuwa kichekesho cha mwaka,na naamini hapo ndo ukawa itachukua nchi kiulaini kabisa
 
mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
9,804
2,000
hao washamini kumbuka ni wanachama halali wa ccm, sasa kama wanaccm wengi wakionekana maamuzi yao kutofuatwa nini mustakabadhi wa chama pale pengine kipenzi chao akiamua kwenda chama kingine au kutotoa ushirikiano kwa atakayepitishwa?

Kwenda chama kingine hawezi, kwanza ukawa hawamtaki, labda akajiunge na akina Ayalullah ambako tutamsahau soon, atafutika mazima kisiasa

Halafu kwa tuhuma zake za kifisadi hawezi kuacha kutoa ushirikiano kwa atayepitishwa, lazima ajikombe ili alindwe, this is TZ ndg yangu
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,468
2,000
Use your common sense. Inawezekanaje mgombea mmoja apate wadhamini wote hao wakati wachache kwa mwingine wanadai wapewe nauli?

Maana yake ni kwamba ule mchezo wake wa watu "kumwomba" agombee, anaundeleza kwa njia ya wadhamini. Lowassa hawezi kuwemo katika wagombea bora 50 wa ccm!
Akajiunge na wazalendo wenzake act, anahitajika sana huko.
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,125
2,000
Kwenda chama kingine hawezi, kwanza ukawa hawamtaki, labda akajiunge na akina Ayalullah ambako tutamsahau soon, atafutika mazima kisiasa

Halafu kwa tuhuma zake za kifisadi hawezi kuacha kutoa ushirikiano kwa atayepitishwa, lazima ajikombe ili alindwe, this is TZ ndg yangu

Lowassa anajua fika kuwa akijotoa ndani ya mfumo wa ccm, atashughulikiwa kikamilifu (Kolimba, Mrema, Kombe etc).

Kwa hiyo ana options mbili tu. Ama apate mwenyewe urais (very unlikely or impossible) au apate mtu atakayemlinda. Hili la pili mara nyingi kwenye siasa halina ukahika wa mia kwa mia.
 
FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,356
1,500
Mzee Membe kila akienda mahals walipo wastaafu basi yuko nao japo kuwafikia makwao....je hii ni kampeni au? hahaaaaaaa jana uso kwa uso CD pale Mwanga
 
Jack Daniel's

JF-Expert Member
May 18, 2015
1,008
1,195
Lowasa anajua kile anachofanya, yeye si mjinga kama tunavyofikiria

* Jamaa ana strategy ya kipekee..anawapelekea maelfu ya wadhamini kuwashawishi CC na NEC na kushwawishi umma...

* Anatumia Media vizuri kuliko mtangaza nia yeyote...
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
41,418
2,000
* Jamaa ana strategy ya kipekee..anawapelekea maelfu ya wadhamini kuwashawishi CC na NEC na kushwawishi umma...

* Anatumia Media vizuri kuliko mtangaza nia yeyote...

Wao wataje majina yote ila lake liwe top 5 likishapita hapo utaona wangapi watamuunga mkono. Watu wengi sana kati ya hao watia nia wataenda kwa Lowasa
 
kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,189
1,500
kutokana na maelfu ya wadhamini anayopata ccm watatumia mbinu gani kumtoa maana watangania nia wengine hawapati wadhamini wengi kama yeye. ni nini effect ya kumtoa mtu anayeungwa mkono na amelfu ya wanachama nchi nzima kwa uhai wa chama hicho?

lowasa mpaka sasa anaonekana kukizidi chama nguvu

Ccm haitafuti MTU maarufu inamtafuta MTU msafi,lowasa Hans sifa wala mbinu take anayoitumia MTU kama magufuli angeitumia ingekuwa hatari,hana jipya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom