CCM itaumia Serikali kuhamia Dodoma

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,628
10,242
Ni dhahiri,UKAWA Wanaenda kunufaika na kura za watumishi wa umma na familia zao.Hii itategemea kama hali ya kisiasa na uchumi miaka 3 ijayo kama itakuwa kama sasa!
MAVUNDE KAA CHONJO!
 
CCM imesha umia mkuu si Umeona Mipopompo hao hapa JF yamepunguwa.

tatizo uelewa finyu wa watanzania itafanya ccm kuongoza daima hatakama imeumia
 
CCM imewatengeneza watanzania kuwa mazuzu,tangu kipindi cha nyerere hii imefanywa makusudi ili watawale wanavyo taka.
 
Ni dhahiri,UKAWA Wanaenda kunufaika na kura za watumishi wa umma na familia zao.Hii itategemea kama hali ya kisiasa na uchumi miaka 3 ijayo kama itakuwa kama sasa!
MAVUNDE KAA CHONJO!
Kura nyingi hazina effect yoyote katika siasa za Tanzania
 
Back
Top Bottom