Uchaguzi 2020 CCM itashinda uchaguzi huu kwa kishindo kikuu kutoka kwa wananchi wa makundi haya

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
Salaam

Utafiti wangu mdogo unanionyesha kwamba CCM itashinda kwa kishindo sana kwenye uchaguzi huu, na kupata kura nyingi sana kutoka kwa makundi haya

1. Wale waathirika wa bomoa bomoa kimara (Zaidi ya familia 350 ziliathirika) na maeneo mengine ambao kesi zao bado zilikuwa mahakamani. Nyumba zikabomelewa kwa ubabe na kibri kisa wao ni wa pinzani, huku wale wa Mwanza na maeneo mengine waliompa kura mkuu wa malaika wakiachwa wazi. Mbali ya shida hizo bado Jamii hizo zitapiga kura nyingii sana kwa chama pendwa CCM. CCM juu!

2. Wale wanafunzi wa UDOM zaidi ya 7000 Waliofukuzwa usiku kama vibaka, eti hawakuwa na sifa za kujiunga na ile program iliyosainiwa na JK, na wasomi wa UDOM. Huku mtoto mpendwa Jeska akiingia chuoni hapo bila Vigezo, nao watapiga kura nyingi sanaa

3. Wale Wajumbe zaidi ya 2500 nchi nzima, ambao waliwakata wagombea mbali mbali wasio na sifa, lakini badae Mkuu wa malaika akawarudisha kwa maslahi yake . Wajumbe hawa na wa kamati kuu pale dodoma mbali ya kwamba wana hasira kwa kufanyiwa kiini macho cha kuambiwa ni uchaguzi wa kumpata mgombea wao, lakini cha ajabu ikaprintiwa fomu 1 tu, yaani uchaguzi ukageuzwa kuwa kuteua, Mbali ya hasira zoote hizo wajumbe watakipigia kura chama cha mboga mboga

4. Wale wafanya biashara wa sukari, walioonja joto ya jiwe mwaka 2016-2017 kwa sakata la sukari, wakiamuliwa sukari lazima iuzwe Tsh 1800, na kweli wakashusha bei mapaka sasa sukari inapatika kwa bei rahisi ya Tsh 3000-400/Kilo 1 nao wana kura nyingi sana kwa chama pendwa

5. CCM watapata kura zingine nyingi sana toka kwa watumishi wa serikali (ZAIDI YA WATUMISHI (465,810), Ambao hawajawahi kupandishiwa mishahara, wala madaraja, wala kulipwa pesa za uhamisho, tangu 2015, nao kura nyingi zitakwenda kwa CCM

6. Mikoa ya Kusini, (Wale wakulima wa Mbaazi na korosho), ambao leo uchumi wao umeimarika sanaa kwa korosho na mbaazi zao kupata bei nzuri na woote kulipwa, lakini tulisubiri walete vyoko vyoko tuwatandike na shangazi zao, nao watakipa kura nyingi sanaa

7. Wakazi wa mkoa wa Kagera na viunga vyake (Nshomile sana), wamejinasibu kukipa kura za sizizo na kifani chama cha mboga mboga, kwa kuwa ni kweli mambo mabaya yote yanaanzia kwao (Mto ngono, tetemeko, ukimwi etc)

8. Vijana wenye vyeti vyao vya elimu ya juu (zaidi ya 1, 350,000) waliopo mtaani, mbali ya kwamba hawana ajira tangu 2015, wameahidi kukipa ushindi mnono chama cha mboga mboga, mbali ya kwamba mpaka sasa hawana ajira ila kila mwaka deni lao la mkopo wa elimu ya juu linaongezeka kwa 6%.

9. Kanda ya kaskazini (Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro), mbali ya kwamba imetengwa kimaendeleo na awamu hii kwa kuwa wao ni wapinzani, nao wameahidi kukipa kura chama cha mboga mbonga

10. Kundi la wazee wastaafu na wale wa Africa Mashariki (TZ) wanaokadiriwa kuwa 657,000, mbali ya kutopata huduma za afya stahiki na malipo yao ya kustaafu kwa wakati toka kwa mifuko ya hifadhi ya jamaii, nao wameahidi kukipa ushindi mkubwa chama pendwa

11. Wajasiriamali wadodogo wadogo waliopigwa zaidi ya 1.4 Bilioni kutokanana na vitambulisho vya mjasilia mali (20,000Tsh), nao wameahidi kukipa kura nyingii sanaa chama kile

12. Wafanyabiashara wale waliofirisiwa na TRA , kwa kushindwa kuonyesha hesabu zao za miaka 5 ya nyumba, au wale waliogundulika kusapoti upinzani nao watakipa kura za kibabe chama pendwa

16. Wakandarasi wapatao zaidi ya 14,600 ambao wanaidai serikali malipo yao ya kazi mabali mbali, walizofanya ndani ya miaka hii 5, nao watakuwa mbele kutoa kura za kutosha kwa chama kile

17. Wale watumishi hewa, wa vyeti hewa (Wakiwemo wale wamama waliotumia ubini wa waume zao katika vyeti vya masomo), nao watatoa kura nyingi sanaa kwa CCM. CCM Hoyee

18. Wale wafanyabiashra nguli, wakubwa wakiongozwa na Manji na wengineo walioionja adha ya Bashite na madwa ya kulevya nao watapiga kura za hasira kwa chama kile

19. Wale watumishi zaidi ya 1318 ambao walikuwa wakitumbuliwa kibabe mbele ya vyombo vya habari bila utaratibu wa kiutumishi, bila kusikilizwa nao watapiga kura nyingii sana kwa chama kile

20. Na wale wote waliopoteza wapendwa wao huku serikali ya chama kile isichukue hatua zozote, nao watakuwa na kura za kutosha

21. Wale watanzania wote walioona hii miaka 5, katiba ya nchi inazingatiwa vyema sanaaa na si matakwa ya mtu 1 nao, nao watakipa chama cha mboga kula za kishindo

22. Wakulima wa mazao ya chakula na wale wa mazao ya kibiashara kama pamba, kahawa, chai na tumbaku, na Cocoa wapatao 3,480,700 ambao tangu sera za mazao hayo zibadilishe na utawala huu mwaka 2018, wakulima wakakosa sauti, makampuni yaliyowasapoti yakala hasara, na kufunga ofisini, na wakulima kuzuiwa kuuza mazao yao nje, nao watapiga kura nyingi kwa chama kile

22. Watumishi zaidi ya 1.5 Millioni, wanao idai mifuko ya hifadhi ya jamii mafao yao, ambao wameambiwa wasubiri miaka 60 ndipo wapate mafao yao, nao watakipa kura za kishino chama kile

Mengineo mtaongezea wana CCM wenzangu. Kwako mwalimu Kashasha.
 
Ngoma za asili ni nzuri kuliko wasanii zaidi ya 100 wa kizazi kipya...
JamiiForums-931025076.jpg
 
Ccm hamna kitu, chadema mwaka huu imepata mpinzani wa kweli, tofauti na 2015 hata idadi ya kura zitaongezeka sana, na ccm zitapungua sana 53.4 %mwaka 2015 hadi 45%
 
Na kwa vile wana mbinu nyingi za uchakachuaji ikiwemo hii hapa chini kwenye link, husaidia sana kwenye ushindi mnono!

Waulize wazazi wako wanavyo hangaika kujitafutia mlo wa siku wanavyopata shida kutatuta unga,maisha ya sasa hivi siiyo Hadi upigiwe kampeni, labda kwa nyie mnaoishi kwa wazazi na mashemeji
 
Hehehe
 
1601508111381.png
 
CCM I kishindo uchaguzi huu hiyo serikali ijiandae kuondolewa na nguvu ya umma.

Kampeni zenu hatutaki Kuna mnatulazimisha.

Kura hatuwapigii mnachakachua

mnachokitafuta kwa wananchi mtakipata.
 
Back
Top Bottom