CCM itameguka mapande makubwa kabla ya uchaguzi

Kwa mara ya kwanza natabiri kumegeka kwa chama tawala muda mfupi kabla ya uchaguzi.

Sababu kubwa ni chama kuacha misingi ya kuanzishwa kwake na kuanza kutumia mbinu zinazotumiwa na vyama vilivyoshika dola kutokana na mapambano ya kivita.
Tayari kila ishara mbaya inajionesha na mazungumzo ya watu wengi wa kawaida yana kila dalili ya kuonesha kuwa hawajui wafanye nini.Mimi si mtafiti kama REDET kwa hiyo unaruhusiwa kunipuuza tu hadi pale majibu ya kweli yatakapotolewa na watafiti waliobobea.

Natabiri baadhi ya wana ccm kukiacha chama.Mf. mh.January,Mwigulu,Lazaro,Nape,na wengine wengi.

Ningependa kusema zaidi lakini tumeambiwa tuwe waangalifu na tunayoandika mitandaoni na hivyo naomba nijizuie nisije nikawachefua wenye ka muhogo kao.
Mungu ibariki Tanzania
Hao uliowataja hawatakiacha chama mkuu,watafukuzwa kwa kuwa wamepiga teke dhana ya uwajibikaji wa pamoja na team work.There is no way this can be tolerated in the party.You either quit or accept those principals,whatever the circumstances.
 
Mnayakumbuka lakini maneno ya muasisi chama na nchi?? " bila ccm imala hakuna Tanzania imala"
 
Kuna uwezekano mkubwa wanaccm kupigia kura upinzani angali wapo ccm. Hii inatokana hofu walizonazo iwapo watakihama chama... Nahisi, ni kweli kuna uwezekano hiki chama pendwa kikapasuka
 
Back
Top Bottom