wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,542
Hiki chama ni hatari Sana wakuu, Mh Mbowe alipeleka hoja bungeni juu ya usalama wa taifa letu Tanzania.
Hoja ya mh Mbowe ilijikita kujadili hali ya usalama wa nchi kiujumla, watu kutekwa hovyo, watu kuuawa na kupotea.
Lakini Kwa makusudi bila Sababu za msingi eti tu Kwa Sababu hoja hiyo ilikuwa imeletwa na mpinzani ikatupwa na wabunge wa CCM kushangilia.
Kuna tofauti kubwa sana Kati ya maslahi ya chama na maslahi ya taifa, maslahi ya taifa ni muhimu kuliko vyama vyote vya siasa.
Linapokuja suala la maslahi ya taifa vyama huwa havina nguvu wala maana yoyote.
Baada ya kuipuza hoja ya Mh Mbowe jana police wetu Saba wakauawa kikatili Sana utadhani ni sinema kumbe kweli.
Mkoa huo huo wa pwani wameshauawa makumi ya watu Kwa kipindi kifupi lakini hakuna jitihada zozote za kuzima uhalifu huo utadhani tupo Somalia.
Watu wana mihemko na chama Badala ya nchi yao, nasema CCM ni hatari Sana Kwa usalama wa nchi yetu.