Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,071
- 9,476
Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani ya chama hiki, ukiangalia namna viongozi wake wanavyopikwa na kuandaliwa,
Ukiangalia namna migogoro inavyotatuliwa na kumalizwa, ukiangalia mtandao wake kiuongozi, Ukiangalia mizizi ya chama hiki ,Hakika utahitimisha kwa kukubali ukweli kuwa hapa nchini Hakuna chama mbadala wa CCM na bado hakijatokea Wala Hakuna dalili ya kutokea zaidi ya kupotea kabisa kwa vyama vya upinzani, Maana vyama vyote vilivyopo hapa nchini vinavyojiita vyama vya upinzani Ni Kama Ni vyama SHIKIZI Tu,
Ndio maana Leo unaweza kuona kiongozi mkubwa wa upinzani kesho akawa CCM lakini Ni ngumu kukuta kiongozi mkubwa toka CCM akaenda upinzani na akadumu huko, sababu Ni kuwa Ni ngumu kwa mtu mwenye uelewa na anayependa kulinda heshima yake akawa upinzani, maana kule Ni Kama mkusanyiko wa kambale, Hakuna kuheshimiana Wala kusikilizana, kule kijana yoyote wa umri wowote anaweza kumtukana mzee anayelingana umri na babu yake na bado akashangiliwa na kuitwa huyo ndiyo kamanda aliyeiva,
Upinzani wa Tanzania hauna ajenda Wala Sera za kuuzika kwa mwananchi, kule mgombea ndio huwa ilani,Sera na ajenda ya chama, Ndio maana huwa hawana hata muda wa kuandaa kiongozi wa kuja kugombea nafasi fulani ya juu Zaid ya kwenda na upepo na kusubili Mtu atoke CCM aje kwao Jambo ambalo huwezi kulikuta likitokea CCM,
CCM imejaa hazina ya viongozi wa leo kesho na hata kesho kutwa, Ni chama ambacho ukianza kuangalia safu yake ya viongozi waliopoo na hata waliopembeni unaona Ni chama kilichokamilika kila idara, Ndio maana hakuna mkubwa ndani ya CCM, unaweza ukaondoka CCM na bado CCM ikasonga mbele tu,
Lakini upinzani Ni vyama vilivyoweka matumaini kwa mtu, Ni vyama ambavyo havina hata mbadala wa uongozi, Ni vyama ambavyo ukimtaja mtu Ni Kama ndio chama mwenyewe, Angalia mh Mbowe Ni Mwenyekiti Tangia lini? Nani mbadala wake? Angalia safu yake ya uongozi, je unaleta matumaini? Hapana haileti matumaini maana ukiona viongozi wa kamati kuu wanatukana na kuvunjiana heshima hadharani ujuwe hapo Hakuna chama Zaid ya ubabaishaji na kusaka fursa
CCM Ni chama kilichobeba Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania, ni chama kinachosikiliza na kubadilika kulingana na wakati na mahitaji ya wakati, Ni chama kilichobeba matumaini na Imani ya watanzania katika kuwapa maendeleo, mtu akifika katika ofisi ya CCM anakuwa na matumaini na uhakika wa kupata suluhisho ya tatizo au kero yake
Ndio maana kila utakapokwenda katika nchi hii utaikuta CCM, ukienda katika taasisi yoyote Ile utaikuta CCM na ukiwa katika kundi lolote lile utaikuta CCM, mizizi ya CCM imetapakaa na kuambaa kila eneo, CCM Ni Kama maji usipoyanywa utayaoga tu, Wakati Sera na ajenda za upinzani huwa Ni mgombea mwenyewe kulingana na anavyojisikia, wakati CCM huongozwa na ilani ya chama
Tanzania chini ya CCM Ni imara Sana, Ni salama Sana, Ni tumaini la wanyonge, Ni kimbilio la waliokata tamaa na kudhulumiwa, Ni Nuru kwa wanaoona Giza mbele, Ni tumaini kwa wenye ndoto yoyote ya heri, Ni jibu kwa wenye kero na matatizo, Ndio maana unaona viongozi wake kila kukicha wapo kwa wananchi kuwatumikia na kuwasikiliza kero zao ili kutoa majibu
Tanzania ipo katika mikono salama ya mama Samia suluhu Hassani Mwenyekiti wa CCm Taifa na Rais wetu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania