CCM itaendeleaa kuwa Chama kiongozi na Tumaini la watanzania Daima

Sera wa wapinzani zitagusa wananchi kwa kipi walichonacho? sera za ccm ndio ziguse wananchi positive kwa kuwa kila kitu kipo chini yao, Alafu achana na upinzani suala ni kupambana kwa kulinganisha na waliotuzidi kinchi sio mambo ya upinzani hapa, sijui habari za upinzani nakuuliza ulieshika madaraka miaka 60 je maendeleo yanaendana na muda huo wote uliokaa madarakani? simple tuu hivyo sio ngonjera za kujilinganisha na upinzani asie na kitu nonsense
Tumepiga hatua kubwa Sana kimaendeleo katika kila nyanja kuanzia Elimu, Afya, maji, umeme na hata Miundombinu,Nikisema nieleze kimoja kimoja hapatatosha hapa
 
Hakuna mtanzania anaangaika na mambo ya ubora wa chama kwa sasa

JPM na Balozi pole pole walifanya kazi mzuri

Walituonesha mpaka wezi na mafisadi walivyokuwa wananufaika kupitia vyama vya siasa

Now the Ishu ni Kodi tozo na mambo ya matumizi ya fedha na utawala Bora

Mambo ya ccm sijui nn Kwa sasa hakuna mtu ana muda nayo

Why kuna tozo na while vyanzo vingi vya mapato?

Tumekopa Sana, tumepewa misaada sana

Ela ziko wapi?
Hatutaki kukopa kwa kila Jambo kuendesha miradi yetu maana tunajipa mzigo wa madeni utakaotupa utumwa wa kulipa kila siku bila kufanya maendeleo, Sasa njia Ni moja tu kufanya maendeleo kwa jasho letu wenyewe kwa Yale Mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu
 
Ungekuwa unaandika kwa fikra zako usingeandika huu ujinga, kuna kitu kimekusukuma kuandika haya!;
Wewe ni sehemu ya walamba asali wachache kwa jasho la wananchi wengi AU
Malipo kdg anayolipwa kuandika ndio yanakusukuma bila kutumia fikra au akili zako!
Uzalendo ndio unaonipa uhiyari wa kuandika haya baada ya kuona kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya CCM inayoongozwa na mh mama Samia
 
Hatutaki kukopa kwa kila Jambo kuendesha miradi yetu maana tunajipa mzigo wa madeni utakaotupa utumwa wa kulipa kila siku bila kufanya maendeleo, Sasa njia Ni moja tu kufanya maendeleo kwa jasho letu wenyewe kwa Yale Mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu

Na on Tuesday mnaenda kusain mkopo mwingine

Sijui mtasema wa kitu gani
 
Tumepiga hatua kubwa Sana kimaendeleo katika kila nyanja kuanzia Elimu, Afya, maji, umeme na hata Miundombinu,Nikisema nieleze kimoja kimoja hapatatosha hapa

Umeme % ngapi?

Miundombinu unayozungumza ni hii ya tanroad? Hahaha
 
N

Upinzani hautakaa uje uwe na ushawishi kwa watanzania kutokanaa na mfumo wa uongozi wa CCm na kupokezana kwa kijiti Cha uongozzi kunakofanya mabadiliko ya kifikra na kimtizamo kubadilika kutokana na wakati na mahitaji ya watanzania
Hivi Tz Kuna CCM kweli , kilichopo ni kikundi Cha watu wanaokula KWa urefu wa kamba zao ,Chama Kama chama kilisha jifia, umeona wapi chama ambacho kipo hai eti ndo kinaudumia wanachama , ambao wapo pale kifulsa tu, badala wanachama hudumia chama

Chama ambacho kinawanachama hata itikadi za chama hawajui, na wangine wanajua wameamua zipuuza

Chama ambacho kimejijenga tafuta wanachama wa badae KWa kuadiwa ajira, na nyazifa za vyeo,

Chama ambacho kinajenga wanachama wa kusifu na kuabudu ila sio kuhoji au kujenga hoja matokeo yake kuogopa jibizana hoja kwenye majukwaa ya kisiasa

Chama kikongwe ila wakati wa chaguzi kinategemea kuiba kura,alafu mtu anakuja anasema Kuna CCM,

Note
CCM Kama chama Kama vilivyo vyama vingine sio tatizo ,tatizo ni watu waliondani ya CCM ndo shida, na KWa namna walivyo kisambalatisha , kwa kuondoka katika misingi ya uanzishwaji wake, chama baki mikononi mwa wachache badala ya kuwa mikononi mwa wanachama wenyewe, leo ccm kila kiongozi anzia mtaa mpaka taifa ni kambale KWa mwanachama mwingine, ile dhana ya usawa haipo kule, ndo maana hata katika chaguzi zao za ndani, kutafuta uwakilishi wa nafasi mbalibali ,vikumbo, fitina,rushwa hutembea kwa Kasi ya ajabu. Siku kikitoka itakichukua miaka mingi kurudi Madarakani,

Maana watakao kuja kukijenga itawapa wakati Ngum Sana, kwanza KWa jinsi wanavyopata wanachama wao, aina ya wanachama(85% wapo kifulsa sio KWa nia ya dhati yakujenga chama)
, Kuna chama kinaweza toka Madarakani na changuzi inayofuata kikarudi ila sio CCM tokana kinavyoendeshwa
 
Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani ya chama hiki, ukiangalia namna viongozi wake wanavyopikwa na kuandaliwa,

Ukiangalia namna migogoro inavyotatuliwa na kumalizwa, ukiangalia mtandao wake kiuongozi, Ukiangalia mizizi ya chama hiki ,Hakika utahitimisha kwa kukubali ukweli kuwa hapa nchini Hakuna chama mbadala wa CCM na bado hakijatokea Wala Hakuna dalili ya kutokea zaidi ya kupotea kabisa kwa vyama vya upinzani, Maana vyama vyote vilivyopo hapa nchini vinavyojiita vyama vya upinzani Ni Kama Ni vyama SHIKIZI Tu,

Ndio maana Leo unaweza kuona kiongozi mkubwa wa upinzani kesho akawa CCM lakini Ni ngumu kukuta kiongozi mkubwa toka CCM akaenda upinzani na akadumu huko, sababu Ni kuwa Ni ngumu kwa mtu mwenye uelewa na anayependa kulinda heshima yake akawa upinzani, maana kule Ni Kama mkusanyiko wa kambale, Hakuna kuheshimiana Wala kusikilizana, kule kijana yoyote wa umri wowote anaweza kumtukana mzee anayelingana umri na babu yake na bado akashangiliwa na kuitwa huyo ndiyo kamanda aliyeiva,

Upinzani wa Tanzania hauna ajenda Wala Sera za kuuzika kwa mwananchi, kule mgombea ndio huwa ilani,Sera na ajenda ya chama, Ndio maana huwa hawana hata muda wa kuandaa kiongozi wa kuja kugombea nafasi fulani ya juu Zaid ya kwenda na upepo na kusubili Mtu atoke CCM aje kwao Jambo ambalo huwezi kulikuta likitokea CCM,

CCM imejaa hazina ya viongozi wa leo kesho na hata kesho kutwa, Ni chama ambacho ukianza kuangalia safu yake ya viongozi waliopoo na hata waliopembeni unaona Ni chama kilichokamilika kila idara, Ndio maana hakuna mkubwa ndani ya CCM, unaweza ukaondoka CCM na bado CCM ikasonga mbele tu,

Lakini upinzani Ni vyama vilivyoweka matumaini kwa mtu, Ni vyama ambavyo havina hata mbadala wa uongozi, Ni vyama ambavyo ukimtaja mtu Ni Kama ndio chama mwenyewe, Angalia mh Mbowe Ni Mwenyekiti Tangia lini? Nani mbadala wake? Angalia safu yake ya uongozi, je unaleta matumaini? Hapana haileti matumaini maana ukiona viongozi wa kamati kuu wanatukana na kuvunjiana heshima hadharani ujuwe hapo Hakuna chama Zaid ya ubabaishaji na kusaka fursa

CCM Ni chama kilichobeba Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania, ni chama kinachosikiliza na kubadilika kulingana na wakati na mahitaji ya wakati, Ni chama kilichobeba matumaini na Imani ya watanzania katika kuwapa maendeleo, mtu akifika katika ofisi ya CCM anakuwa na matumaini na uhakika wa kupata suluhisho ya tatizo au kero yake

Ndio maana kila utakapokwenda katika nchi hii utaikuta CCM, ukienda katika taasisi yoyote Ile utaikuta CCM na ukiwa katika kundi lolote lile utaikuta CCM, mizizi ya CCM imetapakaa na kuambaa kila eneo, CCM Ni Kama maji usipoyanywa utayaoga tu, Wakati Sera na ajenda za upinzani huwa Ni mgombea mwenyewe kulingana na anavyojisikia, wakati CCM huongozwa na ilani ya chama

Tanzania chini ya CCM Ni imara Sana, Ni salama Sana, Ni tumaini la wanyonge, Ni kimbilio la waliokata tamaa na kudhulumiwa, Ni Nuru kwa wanaoona Giza mbele, Ni tumaini kwa wenye ndoto yoyote ya heri, Ni jibu kwa wenye kero na matatizo, Ndio maana unaona viongozi wake kila kukicha wapo kwa wananchi kuwatumikia na kuwasikiliza kero zao ili kutoa majibu

Tanzania ipo katika mikono salama ya mama Samia suluhu Hassani Mwenyekiti wa CCm Taifa na Rais wetu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania
Usiseme wapinzani hawana ajenda. Sema wewe kwa upumbavu wako umehamua kukaza ubongo wako! Kuwaongoza wapumbavu kama wewe haihitaji akili nyingi. Wa tz wengi ni wapumbavu ndio maana mpaka sasa zaidi ya miaka 50 ya uhuru ila bado Tunalalamika upungufu wa matundu ya vyoo.
 
Tumepiga hatua kubwa Sana kimaendeleo katika kila nyanja kuanzia Elimu, Afya, maji, umeme na hata Miundombinu,Nikisema nieleze kimoja kimoja hapatatosha hapa
Sikatai je unaendani na miaka yote hiyo 60 madarakani? mpaka leo Tanzania hii kuna shule za makuti nyingine watoto wanakaa chini unalijua hilo??

kifupi nasema maendeleo yapo ila kwa speed ya tractor ndugu, kama kungekuwa na kuziba mianya ya upigaji ambayo kila taarifa ya CAG ikitoka lazima yaonekane at least hapo hela ingetumika vizuri

Upigaji kila mahali watu hawachukuliwi hatua huku tena viongozi wa serikali kupunguza matumizi hawataki bado raia analaumiwa kulalamika kuhusu tozo
 
UPO SAHIHI WAJINGA NI WENGI WANA MATUMAINI NACHO
 
Ccm
Hivi Tz Kuna CCM kweli , kilichopo ni kikundi Cha watu wanaokula KWa urefu wa kamba zao ,Chama Kama chama kilisha jifia, umeona wapi chama ambacho kipo hai eti ndo kinaudumia wanachama , ambao wapo pale kifulsa tu, badala wanachama hudumia chama

Chama ambacho kinawanachama hata itikadi za chama hawajui, na wangine wanajua wameamua zipuuza

Chama ambacho kimejijenga tafuta wanachama wa badae KWa kuadiwa ajira, na nyazifa za vyeo,

Chama ambacho kinajenga wanachama wa kusifu na kuabudu ila sio kuhoji au kujenga hoja matokeo yake kuogopa jibizana hoja kwenye majukwaa ya kisiasa

Chama kikongwe ila wakati wa chaguzi kinategemea kuiba kura,alafu mtu anakuja anasema Kuna CCM,

Note
CCM Kama chama Kama vilivyo vyama vingine sio tatizo ,tatizo ni watu waliondani ya CCM ndo shida, na KWa namna walivyo kisambalatisha , kwa kuondoka katika misingi ya uanzishwaji wake, chama baki mikononi mwa wachache badala ya kuwa mikononi mwa wanachama wenyewe, leo ccm kila kiongozi anzia mtaa mpaka taifa ni kambale KWa mwanachama mwingine, ile dhana ya usawa haipo kule, ndo maana hata katika chaguzi zao za ndani, kutafuta uwakilishi wa nafasi mbalibali ,vikumbo, fitina,rushwa hutembea kwa Kasi ya ajabu. Siku kikitoka itakichukua miaka mingi kurudi Madarakani,

Maana watakao kuja kukijenga itawapa wakati Ngum Sana, kwanza KWa jinsi wanavyopata wanachama wao, aina ya wanachama(85% wapo kifulsa sio KWa nia ya dhati yakujenga chama)
, Kuna chama kinaweza toka Madarakani na changuzi inayofuata kikarudi ila sio CCM tokana kinavyoendeshwa
CCM ndio chama pekee ambapo unachaguliwa na kuwa kiongozi bila kuangalia Hali yako ya kiuchumi au familia uliyotokea, Ni chama kinachotoa fursa kwa yeyote kuwa kiongozi ilimradi tu uwe umekizi vigezo na una uwezo wa kuwatumikia watu, Ndio maana CCM limekuwa kimbilio la wengi kwa kuwa wote wanajuwa kuwa ndani ya CCM hakuna ubaguzi wowote uke Wala matabaka
 
K
Sikatai je unaendani na miaka yote hiyo 60 madarakani? mpaka leo Tanzania hii kuna shule za makuti nyingine watoto wanakaa chini unalijua hilo??

kifupi nasema maendeleo yapo ila kwa speed ya tractor ndugu, kama kungekuwa na kuziba mianya ya upigaji ambayo kila taarifa ya CAG ikitoka lazima yaonekane at least hapo hela ingetumika vizuri

Upigaji kila mahali watu hawachukuliwi hatua huku tena viongozi wa serikali kupunguza matumizi hawataki bado raia analaumiwa kulalamika kuhusu tozo
Katika uongozi huu wa mh mama Samia pesa za umma zipo katika mikono salama, Nakama unahitaji kuelewa uvumilivu wa mh Rais Basi wewe gusa pesa za umma kwa maslahi yako binafsi uone Kama utamaliza siku ofsini baada ya kuwa umebainika, mama Hana Subira na mtu mbadhirifu, Hapo hamtazami mtu usoni zaidi ya kumuwajibisha haraka sana
 
Usiseme wapinzani hawana ajenda. Sema wewe kwa upumbavu wako umehamua kukaza ubongo wako! Kuwaongoza wapumbavu kama wewe haihitaji akili nyingi. Wa tz wengi ni wapumbavu ndio maana mpaka sasa zaidi ya miaka 50 ya uhuru ila bado Tunalalamika upungufu wa matundu ya vyoo.
Changamoto katika Hatua za maendeleo hazikosekani maana Mambo yanabadilika na hata watu tunaongezeka, Nitakupa mfano huu, kabla ya shule za kata kujengwa nchini kwote kulikuwa na kundi kubwa Sana la wahitimu wa darasa la Saba waliokuwa wanakosa fursa ya Kuendelea na kidato Cha kwanza licha ya ufaulu wao kuwa mzuri na wakulizisha kutokana to na uchache wa shule zilizokuwepo wakati huo

Lakini serikali ilipojenga shule kila kata tukaona wanafunzi wengi wakipata fursa ya Elimu na Kuendelea na masomo , Hatua hiyo ilikuwa Ni maendeleo lakini ikaleta changamoto ya uhaba wa walimu, maabara kwa masomo ya sayansi, mabweni, na hata madarasa yakawa changamoto kutokana na ongezeko la wanafunzi,

Nazani umeshaelewa Sasa kuwa habari za ujenzi itaendeleaa kila mwaka kwa kuwa hata sisi wanadamu tunaongezeka, Tumuunge mkono Rais wetu mpendwa katika dhamira yake njema ya kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
 
Ccm

CCM ndio chama pekee ambapo unachaguliwa na kuwa kiongozi bila kuangalia Hali yako ya kiuchumi au familia uliyotokea, Ni chama kinachotoa fursa kwa yeyote kuwa kiongozi ilimradi tu uwe umekizi vigezo na una uwezo wa kuwatumikia watu, Ndio maana CCM limekuwa kimbilio la wengi kwa kuwa wote wanajuwa kuwa ndani ya CCM hakuna ubaguzi wowote uke Wala matabaka
Unajua ndugu yangu, hu mwanachama wa ccm ,KWANZA nikupongeze KWa namna unavyotetea chama Chako,ila KWa ushauri tu penda jikita jibu hoja KWa upana usiishie jibu juu juu tu, ni vyema wakati mwingine unapitia hoja KWa utulivu then unauliza nilete ushahidi wa Jambo flani , ambalo limesemwa utaletwa,

sikupangii Cha kupongeza,au sifia au tetea ila jua unatetea nini,
Waulizeni wazee wenu mfano Mzee Mkuchika, Mzee Wasira n.k,

watu walipelekwa na Chama Cha CCM somea propaganda , Sasa KWANZA Hawa wazee mnawadhalau Sana hata madini hampati, propaganda sio KAZI ya kuambiwa kwamba sim ile Sasa utakua kwenye mitandao kutetea Serikali big no, wazee Hawa mwawazarau bure wanayajua mengi na ndo wenye nchi , Sasa kaeni siku wakiwatoka hata hamna madini yao mtajuta

Kaa siku MOJA sikia hata hotuba moja ya Mzee Wasira mfano tu, anaweza kuwa anaongopa ila ile anavyowakilisha utakuja jua umepigwa badae,
Sasa nyie mwajiita vijana wa ccm lipi mwawazidi wazee wa ccm? Je hii KAZI mnaweza kweli,

Alisema Mbunge wenu KISHIMBA KWamba kianzishwe chuo Cha wizi , watu wakamcheka ,ila alikua na maana pana Sana kwamba, huwezi zuhia wizi Kama hujui wezi wanaiba vipi na

Huwezi danganya watu kama hujui kudanganya kunaanzia wapi hawatakuelewa, na propaganda inaanzia hapo , na huwezi faulu mission yoyote Kama hujui kiini Cha mission
 
K

Katika uongozi huu wa mh mama Samia pesa za umma zipo katika mikono salama, Nakama unahitaji kuelewa uvumilivu wa mh Rais Basi wewe gusa pesa za umma kwa maslahi yako binafsi uone Kama utamaliza siku ofsini baada ya kuwa umebainika, mama Hana Subira na mtu mbadhirifu, Hapo hamtazami mtu usoni zaidi ya kumuwajibisha haraka sana
Sawa
 
Kiongozi mkubwa kutoka CCM kwenda UPINZANI kudumu huwa ngumu kwa sababu ya kuminywa mirija yake na Serikali. Sumaye walimpiga pini mashamba na baadhi ya biashara, ikabidi ainue mikono juu.

Kuwa upinzani nchi hii ni jambo gumu sana sana.
 
Hapana aliona huko upinzani wote Ni makambale tu hakuna kuheshimiana Wala kusikilizana, Haieleweki Nani anatakiwa kusikilizwa au kutoa muelekeo na Ni Nani Ni msimamizi wa Nidhamu ndani ya chama,

Maana Ni Kama kila mtu Ni kilanja wa Nidhamu, Ni Nabii, Ni Hakimu, Ni mchungaji na Ni Simba, yaani Ni furu mvurugano, Ni Kama kila mtu anacheza kwa Stepu yake maana kila mtu anaimba kuelekea upande wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom