CCM itaendelea kuwa imara


Kaiche

Kaiche

Member
Joined
Jan 23, 2017
Messages
35
Likes
8
Points
15
Age
28
Kaiche

Kaiche

Member
Joined Jan 23, 2017
35 8 15
CCM MPYA lazima itaendelea kupata misuko suko kama ilivyokuwa kwa TANU chini ya Mwenyekiti wa TANU-CCM Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

•Kabla ya 1961 hadi mapinduzi ya Zanzibar 1964, Mwaka 1958 kiongozi wa juu wa TANU Zuberi Mtemvu alitoka na kuanzisha chama chake cha ANC na TANU iliendelea kuwepo na kuwa imara zaidi.

•Mwaka wa 1967 Waziri mwandamizi wa serekali ya TANU Osca Kambona alijiondoa na TANU ilibaki imara zaidi.

•Mwaka 1959 ASP ilimtumbua Shamte na kuanzisha chama cha ZPPP na ASP ilikua imara na kujipanga hadi kufanya mapiduzi mwaka 1964.

•Mwaka 1984 CCM iliyotokana na TANU na ASP ilimvua madaraka aliekua Rais wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi na CCM wala haikutetereka.

•Mwaka 1984 CCM ilimfukuza Maalim Seif Sharif Hamadi na wenzake 6 CCM haikugawanyika.

•Mwaka 2014 CCM ilimfukuza uwanachama waziri wake mwandamizi(MNEC)Mansour Yusuph Humid na wala CCM haikubabaika.

•Mwaka 2015 CCM ilimfukuza uwanachama Hassan Nassor Moyo na CCM ikazidi kusonga mbele.

•Mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa alikihama chama cha mapinduzi baada ya jina lake kukatwa ktk kinyang'anyiro cha Urais ndani ya CCM bado CCM ikazidi kuwa imara na kushinda uchaguzi kwa kishindo na kuendelea kuvuna mamia ya wanachama kutoka ktk vyama mbali mbali.

•Tarehe ya leo 30/10/2017 Lazaro Nyalando amekihama chama cha Mapinduzi na tunasema bado CCM itaendelea kuwa imara haitayumba wala kutetereka kwa hawa walafi wa madaraka kukihama chama kwa kukosa wao kuchaguli uwaziri.

•Nataka mfahamu kwamba CCM ina Viongozi wengi na wanaomdu uongozi na mikikimikiki na ndio moja ya sababu ya kuachwa na baadhi ya viongozi/wanachama maslahi, nafikiri hili linasaidia kutoa nafasi kwa wengine hasa wazalendo ili nao watowe mchango wao kwa taifa letu.
Nyarandu wasalimie uendako ktk kaburi la siasa unalojichimbia.

OMBI LANGU KWA WATANZANIA WAELEWA

Si lazima tukubali kila wanachotuambia hawa wanaohama CCM ambao kimsingi wanamaslahi yasiyoendana na yetu wala jamii yetu.
Mhe. Rais John Pombe Magufuli anaposema wasomi wengi wanatuangusha tuwe tunaelewa anachomaanisha.
Wasomi anaowamaanisha Rais. Magufuli ni wale wenye veti vya kujaza viroba kadhaa au masandukuni, na ndio maana anasema yeye msomi ni yule anayefanya ya kizalendo - yaani anayeisumbua akili yake ili ifanye kazi ya kujenga taifa.
Dhana kuu ya Magufuli ni yeyote anayestahili kuitwa msomi ni yule anayeufanya ubongo wake ufanye kazi, wakati wote uzunguke na kubaini kile kinachoendelea, utafute, uchambue, upime, upambanue, usaili, uzue, uainishe, utanzue na utohoe.
Hiyo ndio shughuli ya ubongo wa binadamu; sio kama ma-mbuzi, shughuli ya ubongo wa mbuzi ni kuliwa tu.

Mtazamo huu wa Rais Magufuli unatutaka watanzania tusiwe kama ma-mbuzi, haiwezekani baadhi ya makundi fulani hasa ya vijana na watu wazima wanaojichetua akili kuamini zaidi uongo kuliko ukweli, kushabikia zaidi mambo yanayolibomoa taifa letu kuliko kujenga.

Nimewakumbusha haya kwanza ili wasiojua CCM imetoka wapi angalau waondokane na upofu, upotoshwaji.

Kuhusu Lazaro Nyarandu nitaendelea Makala yangu ifuatayo.........
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,110
Likes
9,596
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,110 9,596 280
Upya gani unazungumzia wewe?

Watu ni wale wale huo upya umetoka wapi?

Nyani wale wale na msitu ule ule
 
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
13,211
Likes
53,463
Points
280
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
13,211 53,463 280
Dunia ya mwaka 1961 siyo Dunia 2017 . Mabadililiko Yako Kuanzia kwa watu mpk mazingira. Endelea kujipa moyo
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Chama cha majinga au majizi CCM
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,116
Likes
9,179
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,116 9,179 280
Upo sahihi kabisa mkuu, Chama kinazidi kuimarika.
 
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
6,364
Likes
10,243
Points
280
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
6,364 10,243 280
Upo sahihi kabisa mkuu, Chama kinazidi kuimarika.
Mtoto wa miaka 12 kakuzidi akili. yani anaona ccm inagawanyika wewe Mtu mzima unakaribia kuota MKIA hulioni hilo.

KWELI ULE UTAFITI WA TWAWEZA UKO SAHIHI CCM inashabikiwa na watu wenye IQ ndogo.
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,110
Likes
9,596
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,110 9,596 280
Wanafiki wakubwa nyie
Unawashwa wewe sio bure.
Kila unayemuona unajua mwanasiasa? Kafie mbele huko
Mimi sio Chadema wala CCM bangi zako tafuta mwanachama mwenzio uvute nae.
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,116
Likes
9,179
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,116 9,179 280
Mtoto wa miaka 12 kakuzidi akili. yani anaona ccm inagawanyika wewe Mtu mzima unakaribia kuota MKIA hulioni hilo.

KWELI ULE UTAFITI WA TWAWEZA UKO SAHIHI CCM inashabikiwa na watu wenye IQ ndogo.
Sasa wewe nyumb.u kuna unalolijua kweli zaidi ya kukata viuno na kusubiria kauli za mwenyekiti ili upate cha kusema??
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,116
Likes
9,179
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,116 9,179 280
Ujinga/Ignorance ndio Mtaji Mkuu kwa baadhi ya maeneo.
kutana na uhalisia mkuu, kubali tu kuwa CCM ni chama kubwa, tunaflush makapi nyie mnayatukuza.
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Unawashwa wewe sio bure.
Kila unayemuona unajua mwanasiasa? Kafie mbele huko
Mimi sio Chadema wala CCM bangi zako tafuta mwanachama mwenzio uvute nae.
Kama sio mwanasiasa humu umefuata nini?
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,110
Likes
9,596
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,110 9,596 280
Kama sio mwanasiasa humu umefuata nini?
Kama mtanzania sikatazwi kuzungumza lolote linaloendelea nchini, cha msingi nisivunje sheria

Unachopaswa kujua mimi sina chama usilete utumbo wako wa ccm wala Chadema hapa, sishiriki upumbavu mimi.

Nazungumza kama mtanzania huru mambo ya vyama na ushabiki tafuta mwenzako.
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Sasa wewe nyumb.u kuna unalolijua kweli zaidi ya kukata viuno na kusubiria kauli za mwenyekiti ili upate cha kusema??
Hapo umejibu hoja au umeimba taarabu?
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Kama mtanzania sikatazwi kuzungumza lolote linaloendelea nchini, cha msingi nisivunje sheria

Unachopaswa kujua mimi sina chama usilete utumbo wako wa ccm wala Chadema hapa, sishiriki upumbavu mimi.

Nazungumza kama mtanzania huru mambo ya vyama na ushabiki tafuta mwenzako.
Kilaza nakuona hujibu hoja zaidi ya matusi
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,110
Likes
9,596
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,110 9,596 280
Kilaza nakuona hujibu hoja zaidi ya matusi
Lazima unione kilaza kwakua siko chama chochote cha siasa.

Bora kua kilaza kuliko kua mwana ccm au kua mwana Chadema.
 
S

sawabho

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,107
Likes
1,654
Points
280
S

sawabho

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,107 1,654 280
kutana na uhalisia mkuu, kubali tu kuwa CCM ni chama kubwa, tunaflush makapi nyie mnayatukuza.
Wewe unafahamu mimi ni nani ? Mimi ni mwenzio, lakini kila jambo lilitafakari lina maana gani. Hata mwehu akikwambia kuwa huko mbele kuna hatari, unapaswa kuchukua tahadhari, sio kuppuza na kuendelea bila tahadhari.
 
K

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Messages
2,260
Likes
1,528
Points
280
K

Kasongo

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2007
2,260 1,528 280
Unawashwa wewe sio bure.
Kila unayemuona unajua mwanasiasa? Kafie mbele huko
Mimi sio Chadema wala CCM bangi zako tafuta mwanachama mwenzio uvute nae.
haaa haaaa mna vituko nyie.Nimependa ulivyoandika,huwa napenda hii unaonyesha hasira kwa kutumia maneno laini watu wengine hapo wangefurumusha matusi ya nguoni.
 

Forum statistics

Threads 1,235,503
Members 474,615
Posts 29,224,890