CCM itaendelea kutawala Tanzania hadi 2015

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
nnawapongeza sana wale wote walioshinda kuanzia wa chama changu na hata wapinzani

bado ccm itaendelea kutawala bara na zanzibar

sasa tupunguze siasa tushirikiane kujenga nchi
 
Ndoto za Linacha.

Hamjui hata kama maendeleo, umasikini na ujuha wenu una mahusiano moja kwa moja na utawala wa nchi. Munapelekwa kwa ushabiki wa kishamba. Tutawafunza. Asiyefunzwa na mamaye atafunza na ulimwengu.

Tumeanza. Haturudi nyuma.

Tumewavumilia miaka 50.

Tutashindwa kusubiri miaka mi 5?
 
acha matusi kwa watu wa pwani ww, humo wamo wanachama wenu na pia wako waliokuungeni mkono kwenye uchaguzi

mbona kuna maeneo mengi ya bara pia wamekunyimeni hata kule tarime hawajakupeni

sasa leteni mawazo ni jinsi ya kuleta maendeleo
 
Narudia tena,kwakuwa ccm & jk mumeshindwa kukubali kwamba wa Tz wamewachoka ila mumejifanya vichwa ngumu kwa kuchakachua kura,mark my words, MWISHO WENU MBAYA
 
acha matusi kwa watu wa pwani ww, humo wamo wanachama wenu na pia wako waliokuungeni mkono kwenye uchaguzi

mbona kuna maeneo mengi ya bara pia wamekunyimeni hata kule tarime hawajakupeni

sasa leteni mawazo ni jinsi ya kuleta maendeleo

Democracy.

Watu wa Tarime wameonesha kukomaa kisiasa.

Kwani America vipi? Kuna mwenye hati miliki ya America kati ya Democrats na Republican??

Wananchi ndiyo wanaamua.

Wanatarime wamewapa nafasi. Mkicheza Chadema wanachukua tena.

Hata hivyo watu wa Tarime hawana ubongo uliojaa chumvi.
 
nnawapongeza sana wale wote walioshinda kuanzia wa chama changu na hata wapinzani

bado ccm itaendelea kutawala bara na zanzibar

sasa tupunguze siasa tushirikiane kujenga nchi

Sasa ndio tunapaswa kuongeza siasa ujenzi wa nchi utaendelea pia wala usiwe na shaka. Wote walioichagua CHADEMA ni wazalendo wenye kuitakia mema nchi yetu na ari ya kujenga nchi.
 
Democracy.

Watu wa Tarime wameonesha kukomaa kisiasa.

Kwani America vipi? Kuna mwenye hati miliki ya America kati ya Democrats na Republican??

Wananchi ndiyo wanaamua.

Wanatarime wamewapa nafasi. Mkicheza Chadema wanachukua tena.

Hata hivyo watu wa Tarime hawana ubongo uliojaa chumvi.

Ng'wanangwa:

Ina maana watu waliochagua CCM wana ubongo uliojaa chumvi? Uwatendei haki watanzania waliotumia haki zao za kikatiba. Chama cha siasa kinaposhindwa kupata ushindi kisilaumu wapiga kura hata kidogo. Ni lazima kiangalie ni jinsi gani ya kuvutia wapigaji kura wa baadaye.
 
Ndoto za Linacha.

Hamjui hata kama maendeleo, umasikini na ujuha wenu una mahusiano moja kwa moja na utawala wa nchi. Munapelekwa kwa ushabiki wa kishamba. Tutawafunza. Asiyefunzwa na mamaye atafunza na ulimwengu.

Tumeanza. Haturudi nyuma.

Tumewavumilia miaka 50.

Tutashindwa kusubiri miaka mi 5?

Sidhani kama wanachadema wote wana akili ya matusi na ubaguzi kama uliona...

vile vile inaonesha huishi wala hujawahi kuishi na watu wastaarabu, vile vile ni mwanagenzi wa siasa, hujui wala huthamini haki za wengine katika kuchagua viongozi (demokrasia).

Ushauri wangu ni kwamba,,,miezi miwili uliyokaa hapa jamvini bado haijakutosha... endele kujifunza ustaarabu hapa,, itakusaidia,, hwenda hapo baadae ukawa na mchango mzuri.
 
Signature yako tu inakusuta.
 
naam jee tungependa bunge la safari hii lizungumzie issue zipi kama kipao mbele?

jee masuali ya zanzibar kua nchi au si nchi lrejee kujadiliwa bungeni ?

masuali ya rasilimali za taifa kama dhahabu, gesi, mafuta na madini yajadiliwe katika muundo upi ?

wabunge wasisitize kuwepo katiba mpya ?

jee muungano wetu uwe na muundo upi ?

naomba tujadili haya na mengine katika ujenzi wa Tanzania mpya

na nnampa pole ndugu yangu Zitto nasikia yuko polisi kwa kujifanya kidume
 
mahakama ya kadhi, Tanzania iwe nchi ya kiislam, biashara zote zifungwe siku ya ijumaa, maduka ya nguruwe yavunjwe etc etc
 
CCM HAMNA UWEZO WA KUTAWALA WANANCHI,KAZI YENU UFISADI TUU!WEWE UNAONA NI SAWA KUJENGA CHOO CHA SHIMO KWA SH 7M?miaka 50 mmefanya nini?nikikuuliza tz kwa sasa ina mfumo gani wa elimu utajibu nini?
 
Guys wala tusife moyo hawa jamaa hata wakishinda mwaka huu urais lakini bungeni kuna baadhi wa chadema wapo so upuuzi kidogo utapungua sana,ila sasa 2015 ndio wataaibika sana tena sana na mimi leo naongea nyinyi wenyewe mtaona...Hawa CCM ilibidi kuwapatia time ya kutosha mkuru na wenzake wote wezi tu.............
 
you are bad....... .Mtalipa kwa maovu yenu yote.Mawazo yenu ni kujenga nchi za matumbo yenu na mkuwasahau watanzania masikini.
Ole wenu....dhambi hii haitapita bure....
 
ndoto za linacha.

Hamjui hata kama maendeleo, umasikini na ujuha wenu una mahusiano moja kwa moja na utawala wa nchi. Munapelekwa kwa ushabiki wa kishamba. Tutawafunza. Asiyefunzwa na mamaye atafunza na ulimwengu.

Tumeanza. Haturudi nyuma.

Tumewavumilia miaka 50.

Tutashindwa kusubiri miaka mi 5?

acha kashfa wewe!.. Kubali tu watanzania walio wengi! Bado wana mapenzi na ccm!!
 
Wananchi wanahitaji chama cha kuwaongoza sio kuwatawala. Tofautisha hilo next time uwe makini na heading zako!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom