CCM itaendelea kutawala kwa muda mrefu sana....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,519
Sasa hivi kila dalili zinaelekea kuonyesha kuwa watu wameshaukubali utawala mpya wa Kikwete licha ya malalamiko ya mizengwe iliyojitokeza katika zoezi la uhesabuji wa kura.

Ni wachache sana ambao wanakataa kuutambua uhalali wa utawala huu. Wengi wameshakubali yaishe na wameshaamua kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Kwa mtindo huu CCM na serikali zake zitaendelea kuchezea watu kwa vile wanajua tu wepesi wa kusahau na kukubali yaishe. Nami nasema kwa mtaji huu tujiandae kutawaliwa na CCM kwa muda mrefu sana.

Yahifadhini haya maneno yangu kwa marejeo ya baadaye.
 
Unakumbuka Yusuf Makamba alisemaje? Kuwa Watanzania ni rahisi kusahau.
 
tatizo kubwa ni kwamba, hiyo mizengwe tunaisoma kwenye vyombo vya habari tu. Hakuna anayetuletea vidhibiti "live" zaidi ya empty malalamiko. Vidhibiti vingekuwa bayana naamini idadi ya wanaopinga ingekuwa haitofautiani sana na idadi ya wanaosadikika kuibiwa kura.
 
Thanks the doubting thomas

sijui unahitaji evidence gani zaidi ya zilizotoka

nahisi wewe uko nje ya nchi
 
kiongozi Acid, ingekuwa na manufaa kwangu na wadau wengine iwapo utatusaidia kukumbuka evidence zilizotoka ni zipi? zilitolewa na nani na wapi?
Nashukuru.
 
@zemarcopolo
nakumbuka mahanga amekamatwa na kuwekwa ndani only to be annoucned a winner
nakumbuka shinyanga the man resigned after confessing to be pushed by teh big shot
nakumbuka kulikua na querries hadi kwa kutumia DHS data na other CIA data kwamba hata tungeweka watoto wa kuanzia 15 years kwenye voters registratiion book, bado wasingefika 20M
tumeona watu wakiprint na ku-share individual centres kama ile ya geita yenye two indetical voting centers with evrything sawa kwenye media
tumeona irregularities na delays za announcement ya results hadi 5 days... yest you want more evidences

evidences my foot

Unachoongea ni sawa na mtu aliyeibiwa na kwenda polisi na kuambiwa kamlete mwizi lasivyo futa kesi huna cha kujibu, zemarcopolo unanisikitisha sana kwa kubehave kama huna uchungu na damu za mama zetu wanaoahidiwa kila kitu na kuachwa na high martenal portality, the main reason ni kwamba we are looking for impossibles to justify wizi

Hivi ukiambiwa mobutu aliiba akaweka fedha swiss utakubali? if yes why? i was watching his son defending his father kwamba kama angeiba basi wangekamatwa wakati yote haya yanatokea to a benefit of a while man

Napata uchungu zaidi tunapojaribu kusahau kwamba hata kodi tu, tunaibiwa, achilia mbali zile billions watoto walizochezea kutukana watu mitandaoni ni za wizi

naomba ninyamaze maana nimeambiwa siku hizi ukihoji unapotea
 
Acid,
Asante kwa jibu lako. Umejibu vizuri sana. Tuendelee na mjadala huu mzuri,lakini kuna haja ya kuweka emotions aside.
Hivyo vigezo ulivyotoa hapo vinaeleze vipi kwa mwananchi wa kawaida kuwa kura zimeibiwa na zimeibiwa in favour of Kikwete?

Ukisoma vizuri post yangu ya mwanzo kabisa kwenye thread hii, nimetoa mojawapo ya sababu zinazoweza kuwafanya wananchi wakubali yaishe. Sijasema kama mimi nina msimamo gani juu ya matokeo. Hivyo, vigezo kama kuchelewesha matokeo utasemaje vinathibisha kuwa mgombea mmoja amependelewa na ukamjua mgombea mwenyewe! - lazima kuwe na sababu nyingine inayofanya uhisi hivyo, na hiyo ndiyo inahitaji kuelezewa kwa vidhibiti hadharani. Lengo siyo zemarcopolo tu, bali ni watanzania wote waelewe kile kinachoaminika kuwa kimetokea.

Acid, unapotaka kuthibitisha jambo siyo sahihi kulazimisha mtu lazima aelewe. Kitu ambacho kinaweza kuwa "obvious" kwa mmoja siyo lazima kiwe "obvious" kwa mwingine. Ndio maana kwenye kuelezea allegations kama hizi ni vyema viongozi wa CHADEMA wakaleta vielelezo vya moja kwa moja, ili wananchi ambao waliwapigia kura wawaelewe ipassavyo. Hii ni katika kujibu hoja ya thread, kama jinsi kichwa chake cha habari kinavyosoma.
 
@ zemarcopolo

sina cha kuongeza kwani kuna wimbo wa lucky dube unaitwa polital games... naomba uusikilize na mie nimemaliza na wewe

emotions will never go away because those were the tools which drove our great grand fathers to fight for justice... we tend to ave short memories and question for rationality in unfair setting, on another note, we expect a candidate to stay i na state house until the votes coiunting days yet we talk of fairness

i wouldnt put emotions aside because in the history of america, these were also teh best tool, and i like word obvious because i get comfort when i say that

Once upon a time, Malechela was a great man, and i believe kwamba once upon a time vote rigging will be history

i love my country but i hate people who rape democracy
 
Kiongozi Acid,
Asante kwa mara nyingine.
Nathamini sana jitihada zako za kujenga Tanzania bora.
Mungu akuongoze.
 
Sasa hivi kila dalili zinaelekea kuonyesha kuwa watu wameshaukubali utawala mpya wa Kikwete licha ya malalamiko ya mizengwe iliyojitokeza katika zoezi la uhesabuji wa kura.

Ni wachache sana ambao wanakataa kuutambua uhalali wa utawala huu. Wengi wameshakubali yaishe na wameshaamua kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Kwa mtindo huu CCM na serikali zake zitaendelea kuchezea watu kwa vile wanajua tu wepesi wa kusahau na kukubali yaishe. Nami nasema kwa mtaji huu tujiandae kutawaliwa na CCM kwa muda mrefu sana.

Yahifadhini haya maneno yangu kwa marejeo ya baadaye.

Kibaya zaidi kwa sababu imeonekana watu wana hamu sana na change kuna kila uwezekano ikaja kujitokeza mijitu hata kutoka huko CCM isiyo na uadilifu hata chembe, mijizi na mifisadi watanzania wakaamini they are the ones!
 
Sasa hivi kila dalili zinaelekea kuonyesha kuwa watu wameshaukubali utawala mpya wa Kikwete licha ya malalamiko ya mizengwe iliyojitokeza katika zoezi la uhesabuji wa kura.

Ni wachache sana ambao wanakataa kuutambua uhalali wa utawala huu. Wengi wameshakubali yaishe na wameshaamua kuendelea na shughuli zao za kila siku.

Kwa mtindo huu CCM na serikali zake zitaendelea kuchezea watu kwa vile wanajua tu wepesi wa kusahau na kukubali yaishe. Nami nasema kwa mtaji huu tujiandae kutawaliwa na CCM kwa muda mrefu sana.

Yahifadhini haya maneno yangu kwa marejeo ya baadaye.

NN:

Hata kule Ulaya Mashariki, watu walioleta mabadiliko ni watu wa mijini. Huwezi kutawala kwa muda mrefu iwapo unategemea watu waishio kwenye miji midogo au vijijini.
 
Tanzania bado sijaona flashes za uthubutu na ujasiri kama za hao jamaa wa Ulaya mashariki....
 
NN usiusemee moyo wa wenzako!​

Wakati kizazi cha zamani kikizidi kutopea katika usingizi mzito wa usahaulifu wa historia, kizazi kipya kinazidi kupata mwamko wa kifikra wa hali ya juu kuhusu historia ya mapambano ya kudai haki na usawa. Kizazi hiki kinachojulikana kama kizazi cha 'doti komu' kina fursa ya kupata ufahamu na taarifa kwa kasi ya ajabu kutoka katika vyanzo mbalimbali. Wadadisi wa mambo wanaamini kuwa hiki ndicho kizazi kitakachotuletea ukombozi wa tatu kama alivyopenda kuuita Mwalimu Julius Nyerere. Kwenye picha ni baadhi wa watoto na vijana wa kizazi hiki walioandamana jana kupinga kupanda kwa nauli ya wanafunzi kwenye vidaladala kwa 100%.

DSC_0092.JPG

Kulikoni? Lo! Ule msemo wa 'asili huchukia ombwe' sasa unadhihirika waziwazi! Ombwe la madaraka ndio hili linaanza kuzibwa na utashi wa asili wa mwanadamu aliyesongwa na kuchoshwa na hali iliyopo! Tuikumbuke Sharpeville! Ole wetu tusipozisoma nyakati hizi za wakati! Mungu ibariki Tanzania! Wabariki na watoto wake!​
 
CCM bado itaendelea kutesa tu...upende usipende
 
NyaniNgabuVateDetMeter ndio inasema hivyo - baada ya kuwafanyia opinion poll Watanzania wangapi?
 
Back
Top Bottom