CCM is better than CHADEMA

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,831
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
 
4. Wanatumia askari kuua waandishi wa habari

attachment.php
 
...Hii ni kejeli dhidi ya magamba au umeandika jinsi unavyoamini wewe?

Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
 
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.

pia wamdhibiti kwa kiasi kikubwa matukio ya CHADEMA.
Lakini ni serikali inayotumia makalio ktk fikra zake.
 
pia wamdhibiti kwa kiasi kikubwa matukio ya CHADEMA.
Lakini ni serikali inayotumia makalio ktk fikra zake.
Bila CCM wewe usingekuwa unaongea haya maana imekupa uhuru wa kuongea lolote unalotaka.
Sasa kwa kuwa wewe hutumii akili vizuri unaonakama wewe unaweza kuliko wao. CCM is Better than CHADEMA
 
...Kama huna cha maana cha kuandika ni bora kuficha upumbavu wako wa hali ya juu kwa kukaa kimya. Hebu toa ushahidi wa huu ***** ulioandika hapa kuhusu kuwa sikivu, kutatua matatizo na kuweka nchi katika hali ya utulivu.

Siyo kejeri bali ni hali halisi jinsi ilivyo.
 
...Kama huna cha maana cha kuandika ni bora kuficha upumbavu wako wa hali ya juu kwa kukaa kimya. Hebu toa ushahidi wa huu ***** ulionadika hapa kuhusu kuwa sikivu, kutatua matatizo na kuweka nchi katika hali ya utulivu.
vip Kuhusu katiba mpya?
 
Ccm ingekuwa dem hata angekaa uchi mbele yangu na ajitanue wala nisinge tamani ndo kwanza inge lala
 
Yah your right because even your mom was better than your father that's why you have female homons
 
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.

Hata kama ingekuwa ni kweli kwa nini umeleta mada hii ya leo baada ya serikali ya CCM kufanya hii?

attachment.php
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom