Ccm ipo kimasilahi

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
THOUGH I MIGHT NOT BE A PRO CCM-BUT KWA MCHAKATO HUU WA CCM KUMKATAA SITTA AS A SPEAKER,IMEONYESHA KUWA CCM WAPO KIMASLAI ZAID KULIKO MASLAHI YA KITAFA-kweli Tanzania itajengwa na Watanzania wenye moyo
 
ccm is a bomb awaits to explode, na litatuua wote tusipoangalia.ni genge la mafisadi linaloneemeka na rasilimali za nchi hii
 
Hii ni picha halisi jinsi gani ndani ya ccm na cc yake kunauozo na 'mpanguso' wa miiko ya uongozi. Vichwa vyao havina mwelekeo wa mageuzi ya siasa za nchi hii. Uwepo wa demokrasia nchimi mwetu ni chachu na changamoto za maendeleo kwa Taifa letu.
Bunge ni mmjo ya mihimili mikuu ya maendeleo ya nchi yetu. Ni mahala ambapo Wabunge(wawakilishi wa watz wote) wanajadili maswala muhimu ya Taifa. Spika akiwa kama kiongozi wa bunge yampasa kuwa mtu makini asiye na jaziba na asiyefumbia uozo wa aina yoyote. Kitendo cha cc kumpitisha Anna Makinda ni hatua nyingine nyuma km enzi za Pius Msekwa. Wabunge wa CCM uwanja upo wazi Watanzania tunaomba mtudhilishie kwamba Kikwete hatakiwi kukiongoza chama chenu. Mpitisheni Malando kwa ufanisi wa Bunge letu.
 
Back
Top Bottom