CCM inunueni Yanga

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kwa hali iliyofikia viongozi wa chama wakae walitafakari hili kama vile chama kilivyoiokoa channel ten ndivyo hivyo chaweza kuinusuru klabu ya Yanga, tena uzuri hakutakua na gharama za kununua jezi mpya sababu rangi zimeendana vilivyo njano na kijani

Chonde hili lifanyike mapema ili Yanga waondoe lile tangazo lao la bakuli azam tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nifara wa mwisho!!
Kwa hali iliyofikia viongozi wa chama wakae walitafakari hili kama vile chama kilivyoiokoa channel ten ndivyo hivyo chaweza kuinusuru klabu ya yanga,tena uzuri hakutakua na gharama za kununua jezi mpya sababu rangi zimeendana vilivyo njano na kijani
Chonde hili lifanyike mapema ili yanga waondoe lile tangazo lao la bakuli azam tv

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kumuaibisha mheshimiwa raisi magufuli tuache kununua ndege tununue vitu vya kijinga
 
Kwa hali iliyofikia viongozi wa chama wakae walitafakari hili kama vile chama kilivyoiokoa channel ten ndivyo hivyo chaweza kuinusuru klabu ya yanga,tena uzuri hakutakua na gharama za kununua jezi mpya sababu rangi zimeendana vilivyo njano na kijani
Chonde hili lifanyike mapema ili yanga waondoe lile tangazo lao la bakuli azam tv

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga inaendeshwa na wanachama na mashabiki wengi wenye timu yao.
Mikia inamtegemea mtu mmoja Mo Dewji. NanI bora?
 
Weka Hilo tangazo mkuu, ni fedha tu ama wanapokea pia nguo, vyakula, makabrasha n.k
 
Yanga ni timu ya watanzania wote,Ndiyo maana Hata Mbowe na Rage inapofikia hatua Hiyo wanavaa uzi wa jangwani
 
Kwa hali iliyofikia viongozi wa chama wakae walitafakari hili kama vile chama kilivyoiokoa channel ten ndivyo hivyo chaweza kuinusuru klabu ya Yanga, tena uzuri hakutakua na gharama za kununua jezi mpya sababu rangi zimeendana vilivyo njano na kijani

Chonde hili lifanyike mapema ili Yanga waondoe lile tangazo lao la bakuli azam tv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata idadi ya wanachama itaongezeka na kampeni itakuwa ni Yanga kucheza mechi kila kijiji badala ya kuwatumia Wasanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom