CCM ingeruhusu demokrasia kwenye nafasi ya Mwenyekiti taifa ili marais wastaafu waweze kugombea pia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Ni swala la demokrasia tu.

Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti.

CCM ingebadili utamaduni wake ili kutoa fursa kwa wastaafu kuendelea kasaidia kukiongoza chama, hii inawezekana.

Vinginevyo ndio kina Jah people wanapata upenyo wa kuwashawishi marais wabadilishe katiba kuondoa ukomo wa uongozi kwa sababu nyakati nyingine madaraka ni matamu.

Mungu ni mwema wakati wote!

Kazi Iendelee.
 
Yule Mwenyekiti wenu wa milele vipi ameshawatawala Malaika huko aliko?
 
Back
Top Bottom