CCM inazidi kuumbuka Musoma

otorokoko

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
2,437
154
HUKU KWETU MUSOMA HAYA YANAJILI.KWA MUSOMA MJINICCM waja na mbinu ya VIROBAORIGINAL.chama cha mapinduzi kimekuja na mbinu ya kugawa pombe aina ya viroba kwa vijana ili wawapigie kula wajumbe na wenyeviti wao kupitia ccm.

Akiongea na mwandishi wa musomayetu, mmoja wa mashabiki wa viroba vya ccmamejikuta akisema"viroba tunakunywaaa,nakula yangu hawapati ng'ooo hawa mb...zi".aliongea huku akiwakashifu wagawa virobakwa kuthaminisha maisha ya watz naviroba"wanatudharau sana hawa ccm."pia baadhi ya vijana wamekuwa wakirubuniwakufanya fujo kwenye kampeni za vyamapinzani."USIKUWakati watu wa kupumzika makada wa ccmkwao inakuwa kumekucha.wanatembeleanyumba kwanyumba kugawa fedha kiasi chash.5000 mpaka elfu 4.kwa kila mwenye umri wa kupiga kula.

lakini pamoja na hayayote.MWITIKIO BADO NI MDOGO SANA KWA CCM. CHADEMA kimeonekana kuimarika kilakukicha na wajumbe wake wamezidi kung'aakatika majukwaa ya kampeni.wakati huo huo wanasiasa toka CCMwameonesha kulewa madaraka na kwa kuvunjasheria na katiba ya nchi na demokrasia palewalipojinadi kuwa "lazima wagombea wakewatashinda kwa lazima kwani wao ndio wenyenchi hii,kauli ambayo imewakera wapiga kulaambao wanadai ni ya viongozi madicteta nawasiofaa"kipindi hiki ccm wakileta ulaghai wa kuiba kura tutawashughulikia ipasavyo".anasema bw.Chacha M.Kutika
 
CCM kugawa fedha hapo Musoma ndo mtindo wao. Mwaka 2010 alipita mgombea wa CCM ( ubunge) yeye mwenyewe, pale nyumbani aliacha elfu thelathini taslimu , kila mmoja alijazwa elfu tano kesho yake tukamuchinjia kina kirefu. UKAWA HOYEE.
 
CCM kugawa fedha hapo Musoma ndo mtindo wao. Mwaka 2010 alipita mgombea wa CCM ( ubunge) yeye mwenyewe, pale nyumbani aliacha elfu thelathini taslimu , kila mmoja alijazwa elfu tano kesho yake tukamuchinjia kina kirefu. UKAWA HOYEE.

Hoyeeeeeeeeeeeee
 
Wanajifanya kushare shida na wananchi kumbe their hipocrit. Siku zote walikuwa wapi sasa ndo wanakumbuka kula chakula na wananchi. Mbona hawakula fedha za escrow nasi?
 
huku IRINGA JANA wamemkata panga kijana mmoja anajulikana kama kiduku maeneo ya mwang'ingo zahanat....ccm iringa njin ilisha kufa sahiz wanasindikiza tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom