cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,240
- 1,584
Na Yale yanayoonekana unayazungumziajeUna uhakika gani kuwa huwa anadig kweli? Una uhakika gani findings zake ni za kweli? Una uhakika gani na hiyo direct to the point?
Kama aliweza kusema alikuta sukari kilo ni tsh 5000, Saddam Hussein ni rais wa Kuwait, aliwahi kuokota vichwa vya treni bandarini, siku ina masaa 36, Atcl inajiendesha kwa faida, je mambo ya sirini si ndio tulipigwa kabisa huku wapumbavu kama nyie mkiona ni kweli? Ona haya makesi dhidi ya government watu wanavyoigaragaza serikali. Upuuzi mtupu
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app