CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

Kama ww ujakoma sie tushakoma... Amia Uganda au Rwanda huko kuna marais wanafanana nae..
Ulichokoma nini mkuu mmemuua baba wawatu angalia sasa nchi inapoenda ngoja mpelekewe moto chanjo ishatua airport nenda kadungwe uwe shoga
 
Dkt.Bashiru
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
 
Mkuu, Majaliwa anaweza. Sasa anashindwa kwa sababu hajakabidhiwa usukani.
Mimi naamini Majaliwa ndiye atakayetukosha sisi Watanzania baada ya kuondokewa na mpendwa wetu JPM. Majaliwa hata anapoongea ukimtazama tu usoni unaona kabisa kwamba kile anachoongea anamaanisha kutoka moyoni mwake.
Kassim Majaliwa, juuuuuuuuuuuu zaiiiiiiidiiiiiiii.
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Ndio kabisa
Tutawapatia january makamba
 
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Uthubutu au roho mbaya no ajira, no kuongeza ya mshahara mzee wa 16 bullets...
 
Si unajigamba kuwa uko hapo kwa ridhaa ya Wananchi Tume HURU iamue

1625303318361.png

1625303415411.png

chama kizima vs one man show!
 
Back
Top Bottom